Kama unamaanisha ngoma/diski zinazofanana na sahani kwenye minara ya mawasiliano, hizo ni antenna za microwave.Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani?
Search Microwave Dish/Antenna kwenye google utapata ABCs.Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani?
Komenti imekaa kizaramo hii. Vigodoro au sio?😀Ni ngoma za kitamaduni mkuu, unaruhusiwa kupanda juu ya mnara na kuifungua moja unashuka nayo unaipiga mnacheza wee mkumaliza unairudisha tena hapo. Okay?
Ni kwa ajili ya kuchezea mdundiko.Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani?
Naona umeamua uulize AI
Ndio picha ni AI generated, kwa urahisi ili mtoa mada aelewe. Au ni makosa ku generate picha kwa AI za kutoa elimu ?Naona umeamua uulize AI
Telecom inaweza kuwa uvumbuzi wa kushangaza sanaKama unamaanisha ngoma/diski zinazofanana na sahani kwenye minara ya mawasiliano, hizo ni antenna za microwave.
Kazi yake ni kusafirisha data, sauti na internet kutoka mnara mmoja kwenda mwingine kwa mawimbi ya redio. 📡
Kwa kifupi: ni kama “daraja”linalounganisha minara ya mawasiliano.
Kuna mdau kauliza pale juu ngoma za kwenye masikio kazi yake nini😅Za kucheza mziki🤓
Asante kwa elimu