Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Alitaka ziwe za ninišKuna mdau kauliza pale juu ngoma za kwenye masikio kazi yake niniš
Sinza kusikilizia mziki
Alitaka ziwe za ninišKuna mdau kauliza pale juu ngoma za kwenye masikio kazi yake niniš
Hizo ni ngoma tu kama zile za band shuleni au jeshini. Usizitilie maanani hata kidogo. Wameziweka huko juu kama sehemu ya kuuenzi utamaduni wetu.Wajuzi wa mambo naombeni nifahamisheni kuhusu haya mangoma kwenye minara huwa za kazi gani?