Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k
Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile ulichomuagiza kiko salama, hajaweka au hakijawekewa kitu chochote kile chenye kukudhuru wewe?
Kwa sababu, katika maisha kuna wafitini wengi, unaweza ukakwazana na mtu, na huyo mtu akaamua kumtumia yule unayemuagiza kukuangamiza.
Je, unamwamini vipi huyo unayemtuma atakuletea kitu kisichokuwa na madhara?