Unamwamini vipi huyo unaye mtuma akuletee vyakula vilivyopikwa, matunda na vinywaji?

Unamwamini vipi huyo unaye mtuma akuletee vyakula vilivyopikwa, matunda na vinywaji?

Mimi shida yangu sio anayetumwa, bali matunda ya kumenywa/ kukatwa na kachumbari mbichi - mtu anaviaminije afya na kanuni za usafi vya huyo mtayarishaji? Na hasa katika mazingira ya watu wengi na vyoo visivyo na maji tiririka ya kutosha?
 
Achilia mbali usafi, atokee tu mfitini wako mliye kwazana hapa na pale, amtumie uliyemwagiza kwa kumshawishi kwa fedha n.k aweke dawa ya kuua mende mle ili lengo lake litimie.​
 
Kama huna bilioni 2 benki, sio mwanasiasa maarufu wa CCM au CDM au huna mgogoro mkubwa na mtu yeyote aliye karibu hakuna haja ya kuogopa.
 
Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k

Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile ulichomuagiza kiko salama, hajaweka au hakijawekewa kitu chochote kile chenye kukudhuru wewe?

Kwa sababu, katika maisha kuna wafitini wengi, unaweza ukakwazana na mtu, na huyo mtu akaamua kumtumia yule unayemuagiza kukuangamiza.

Je, unamwamini vipi huyo unayemtuma atakuletea kitu kisichokuwa na madhara?​
Ni imani tu!
 
Mama ntilie ananifanyia delivery nyumbani kwangu. Yani anakuja yeye kama yeye mpaka hom. Ajabu nimeanza kumpenda Atari. Nahisi ameniwekea mambo ya kiswahili kwenye msosi.
Mbaya zaidi ni mke wa mtu.
 
Wanadamu wakiamua kudili na wewe ni Mungu pekee wakukuokoa.

Wana mbinu zaidi ya 10k za kufanya usiione kesho.
 
Mama ntilie ananifanyia delivery nyumbani kwangu. Yani anakuja yeye kama yeye mpaka hom. Ajabu nimeanza kumpenda Atari. Nahisi ameniwekea mambo ya kiswahili kwenye msosi.
Mbaya zaidi ni mke wa mtu.
Mpandishe cheo awe mke
 
Achilia mbali usafi, atokee tu mfitini wako mliye kwazana hapa na pale, amtumie uliyemwagiza kwa kumshawishi kwa fedha n.k aweke dawa ya kuua mende mle ili lengo lake litimie.​
Kwani meters za dawasco si huwa zinakaa nje ya nyumba???

Vipi mfitini akija na sindano yenye sumu akatoboa bomba akanyunyiza.
 
Back
Top Bottom