Siku hizi hakuna watesi wa kishamba wa kuwekeana sumu kwenye juisi.Unajihami vipi na watesi wako?
Mimi shida yangu sio anayetumwa, bali matunda ya kumenywa/ kukatwa na kachumbari mbichi - mtu anaviaminije afya na kanuni za usafi vya huyo mtayarishaji? Na hasa katika mazingira ya watu wengi na vyoo visivyo na maji tiririka ya kutosha?
😄😂😆😀😃🤣😅😅😃🙆♂️Mzee mangula sema hii hali ya mashaka huwapata Wana CCM
Ikafika mahali mpaka wakawa wanaogopa kuachiana maji haaaahaa ☺️
Kujitetea ni muhimu, ndio maana tukiumwa tunawahi hospitali."Kifo ni kifo tuuuu* mama kizimkazi
Mfano, huko mtaani ukatembea na mke wa jirani yako, unahisi ni nini kitatokea?Siku hizi hakuna watesi wa kishamba wa kuwekeana sumu kwenye juisi.
Muhimu ni kuepuka migogoroKama huna bilioni 2 benki, sio mwanasiasa maarufu wa CCM au CDM au huna mgogoro mkubwa na mtu yeyote aliye karibu hakuna haja ya kuogopa.
Kwenye situation kama hii utatafutwa na sheria ya karma na ngumi nyingi sana za uso.Mfano, huko mtaani ukatembea na mke wa jirani yako, unahisi ni nini kitatokea?
Inafikirisha sana
Ni imani tu!Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k
Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile ulichomuagiza kiko salama, hajaweka au hakijawekewa kitu chochote kile chenye kukudhuru wewe?
Kwa sababu, katika maisha kuna wafitini wengi, unaweza ukakwazana na mtu, na huyo mtu akaamua kumtumia yule unayemuagiza kukuangamiza.
Je, unamwamini vipi huyo unayemtuma atakuletea kitu kisichokuwa na madhara?
Mpandishe cheo awe mkeMama ntilie ananifanyia delivery nyumbani kwangu. Yani anakuja yeye kama yeye mpaka hom. Ajabu nimeanza kumpenda Atari. Nahisi ameniwekea mambo ya kiswahili kwenye msosi.
Mbaya zaidi ni mke wa mtu.
Kwani meters za dawasco si huwa zinakaa nje ya nyumba???Achilia mbali usafi, atokee tu mfitini wako mliye kwazana hapa na pale, amtumie uliyemwagiza kwa kumshawishi kwa fedha n.k aweke dawa ya kuua mende mle ili lengo lake litimie.
Inabidi tuishi kwa imani tuKwani meters za dawasco si huwa zinakaa nje ya nyumba???
Vipi mfitini akija na sindano yenye sumu akatoboa bomba akanyunyiza.