JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huu uzi ukiingia kichwa kichwa utaishia kuwa na hasira halafu utatoka bila bila Ila ukiwa makini utatoka na kitu hapa Nimeweka huu uzi baada ya Juzi kuweka tangazo langu la kuuza ac na vitu...
31 Reactions
195 Replies
4K Views
Sasa hivi, migogoro ya kifamilia, kimahusiano, kufumaniana tunafanya kwa mitandao ya kijamii. Msuluhishi wetu mkuu ni mitandao ya kijamii; iwe JF, YouTube, Tiktok na mingineyo. Wakati zamani...
0 Reactions
3 Replies
53 Views
Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mpaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria. Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti...
28 Reactions
338 Replies
2K Views
Red black nashukuru sana kwa kujali , ila sijui kama wewe una hata level za kunizungumzia mimi asee😅 Au ni vile tuna kutana humu JF tu , ndio mnaona mnauwezo wa hata kukutana na kila...
24 Reactions
119 Replies
1K Views
de Gunner nimeona reply yako , unasema mimi ni daktari nisiye na kitu , nikitoka kazini napitia bar kulewa tu , ndio nasumbua jf🤣 Mimi kweli asili yangu ni nurse, mimi ni muuguzi na mkunga ...
17 Reactions
33 Replies
277 Views
Hellow wana JF Aisee wakuu Kila nikipata mpenzi mpya kama hana kazi basi fasta sana ndani ya wiki 2 tu anapata kazi tena kazi ya mshahara mnono
12 Reactions
112 Replies
790 Views
Kwanini Konyagi ya sasa mtu Okinawa Halewi Tofauti na zamani. Washauri wa figo kaeni pembeni. Walokole mtaenda nyie mbinguni.
6 Reactions
56 Replies
467 Views
Kwa vijana wa kiume, acha kupenda wanawake wabovu wa sura na umbo , wao vigezo vyao ni pesa , hivyo jichimbie ,saka pesa , ukizisaka tafuta mwanamke mzuri wa sura na umbo. Kwa wanawake...
13 Reactions
64 Replies
600 Views
Wakati wa michuano ya kombe la dunia niliota ndoto nikiwa navuta bangi na lionel messi, niliiwaza sana ndoto hii baada ya kuamka lakini sikuweza kupata maana yake . Na kuna siku pia niliota ndoto...
1 Reactions
1 Replies
65 Views
My lovely daughter ShesRise_1 ❤ May your birthday be as wonderful, bright, and beautiful as you are. Wishing you a day filled with love, laughter, and everything nice. Hope your special day is...
7 Reactions
32 Replies
276 Views
Ni tetesi au habari zipi unazokumbuka ambazo zilivuma sana enzi hizo lakini hazikutokea. Ninazozikumbuka ni pamoja na tetesi kamba dunia ingefika mwisho mwaka 2000. Nakumbuka kuna watu walikuwa...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Je ni kweli Dar es salaam ni jiji fumbo kwa vijana wa 2000
0 Reactions
1 Replies
61 Views
Huyu mtu mbona kila kitu ana like? hata kama hamna mazingira ya ku like yeye unakuta kuweka like! Huyu vipi?
7 Reactions
20 Replies
167 Views
Hivi kwani kimo nacho kinaweza kuwa ulemavu? Kwanini wenye size ndogo almaarufu kibermeer wanasengenywa sana?
8 Reactions
35 Replies
312 Views
Maandiko yanasema "Kama jina la mtu lilivyo naye ndivyo alivyo" Kutoka Surya niwe naitwa Pushpa hapa jamiiforum. Maoni yenu kwa Jina langu Jipya lijalo.
7 Reactions
44 Replies
273 Views
Kwanza nimejificha hapa ili niombe ushauri, ndio maana nimeacha nafasi ya salamu hapo juu. Nimetoka kibaruani aiseeee..... Huyo mtoto ni mtundu sana na amezowea kuwa namletea pipi kilasiku...
13 Reactions
40 Replies
560 Views
Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni...
28 Reactions
4K Replies
1M Views
Naomba Brother Mshana Jr aweke link za NYUZI zake zote kwenye hii part iwe rahisi kupata content zake za miaka ya kale. tangu enzi za South Africa kujifunza ubuddist na uchawi mpaka kuokoka na...
17 Reactions
51 Replies
642 Views
Back
Top Bottom