Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Kwanza nimejificha hapa ili niombe ushauri, ndio maana nimeacha nafasi ya salamu hapo juu.
Nimetoka kibaruani aiseeee.....
Huyo mtoto ni mtundu sana na amezowea kuwa namletea pipi kilasiku.
Nilipovua nguo nikaoge, kazama kwenye mfuko wa suruali akatoka na Salama kisha akampelekea mama yake huko jikoni.
Nilipo maliza kuoga nikamkuta dogo amekaa anasubiri nimalize kuoga akaniambia kwamba.... uncle, nimekuta roiko kwenye mfuko wa suruali yako nikampelekea mama... ameniambia nije nikuite.
Sasa wakuu ebu nishaurini hapa naenda kuoanguaje hii kesi??