Kuokoka ndiyo nini ndugu?Bora niokoke tu aiseeee...😮💨
Kwahiyo mkuu unataka kusema mzee wetu Ushimen katengeneza story!?Ushimeni,kama matukio ya namna hii hayajakukuta unweza kudhani ni story tuu.Sitasahau siku kijana wangu alipoibuka na pini ya kubania hijab kwenye siti ya nyuma,alooo!
Halafu sasa familia nzima tumo humo kwwnye gari tunakwenda kanisani ,wee acha tu.Mama watoto alinikazia macho vibaya
Akikujibu ni tag!?Kuokoka ndiyo nini ndugu?
Sawa.Akikujibu ni tag!?
Kuokoka ndiyo nini ndugu?
Dogo kukuita uncle ni kiashiria kuwa aidha unaishi kwa dada yako ama umeoa single mother. Hao wote wawili hawana madhara kwako kwahiyo hakuna cha kuhofiaKwanza nimejificha hapa ili niombe ushauri, ndio maana nimeacha nafasi ya salamu hapo juu.
Nimetoka kibaruani aiseeee.....
Huyo mtoto ni mtundu sana na amezowea kuwa namletea pipi kilasiku.
Nilipovua nguo nikaoge, kazama kwenye mfuko wa suruali akatoka na Salama kisha akampelekea mama yake huko jikoni.
Nilipo maliza kuoga nikamkuta dogo amekaa anasubiri nimalize kuoga akaniambia kwamba.... uncle, nimekuta roiko kwenye mfuko wa suruali yako nikampelekea mama... ameniambia nije nikuite.
Sasa wakuu ebu nishaurini hapa naenda kuoanguaje hii kesi??
Hahaha 😂ni kitendo cha kuacha kuzurura na Royco mifukoni...
H kama chai jaba hv, ila fresh ngoja tuishi nayo tuuuncle, nimekuta roiko kwenye mfuko wa suruali yako nikampelekea mama... ameniambia nije nikuite.
Ah kmmk wallah 🙌Chukua condom zingine weka kwenye suruali ya anco wako alafu mwite wife jifanye kukagua useme dogo ndio alikuwa nazo amekota nje.
Au weka zingine kwenye suruali ya dogo ionekane ametoka nazo shule
Hyo username imebeba mengi kuhusu mtumiaji.Imefanyaje kwani mkuu...😮💨
Mimi kama ke wa kwenye kundi hilo ulilotaja kwa niaba ya wenzangu wote nasema hatukubaliani na hiki ulichokiandika hapaKe wa 1930 - 1980s atakupongeza na kukuona shujaa jinsi gani unajali afya yake na watoto wako sababu huchezi peku mechi za ugenini, Ke wa 2000s jiandae kununiwa na kunyimwa hata unyumba.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Suluhisho ingefaa utembee na kanuni ya "heri nusu shari kuliko shari kamili" maana maji yashamwagika, utafanyaje mkuu?Mimi kama ke wa kwenye kundi hilo ulilotaja kwa niaba ya wenzangu wote nasema hatukubaliani na hiki ulichokiandika hapa