Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mpaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.

Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.

Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.

Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.

Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.

Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.

Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.

Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.​
 
Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mapaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.

Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.

Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.

Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.

Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.

Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.

Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.

Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.​
Hoja ina utata mkuu. Maendeleo hayakutokana na jamii moja pekee; ustaarabu umejengwa kwa mchango wa mataifa na jamii mbalimbali duniani. Kila upande una nafasi yake.
 
Jitathmini wewe mwenyewe hapo ulipo, chochote ulichokivaa hapo kimetoka wapi?
hata zamani afrika kulikuwa na viwanda vya nguo, acha kukalili eti kila jamii za kiafrika walivaa magome. hata hizo nguo zenyewe marekani naye kwa asilimia kadhaa anaagiza toka Nigeria. Nigeria kuna viwanda vya nguo grade A za kiasili.
 
Back
Top Bottom