Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Ni nani aliyeleta ustaarabu wa kuvaa suti na kulifanya liwe vazi la kiofisi?Oops
Acha Tu Niendelee Kutafakari
Ni nani aliyeleta ustaarabu wa kuvaa suti na kulifanya liwe vazi la kiofisi?Oops
Acha Tu Niendelee Kutafakari
Hizo mashine na vipuli vilitengenezwa wapi?hata zamani afrika kulikuwa na viwanda vya nguo, acha kukalili eti kila jamii za kiafrika walivaa magome. hata hizo nguo zenyewe marekani naye kwa asilimia kadhaa anaagiza toka Nigeria. Nigeria kuna viwanda vya nguo grade A za kiasili.
jamii kadhaa kuvaa magome ya miti haifanyi waafrika wote eti ndo walitumia magome ya miti. hata hao wazungu walivaa magome ya miti(native Americans)Waliokuja mara ya kwanza na kutukuta tunavaa magome ya miti, walikuwa kina nani?
Kula ingekuwa nguvu zako tu, hakuna mambo ya helaKazini INGEKUWA ni kwenda kuwinda swala na kurudi na vitoweo hapo baba nimetoka kazini
Kwa nini tulishindwa kuwafanya wazungu wawe watumwa wetu?jamii kadhaa kuvaa magome ya miti haifanyi waafrika wote eti ndo walitumia magome ya miti. hata hao wazungu walivaa magome ya miti(native Americans)
Kwa nini mtu mweusi alishindwa, je ni IQ ndogo?Mimi sidhani kama jamii za watu weusi hasa afrika kama walikua na mchango wa maendeleo ya dunia kupitia maalifa yao,gunduzi zao,tamaduni zao (NJE NA UTUMWA MTU MWEUSI HAKULETA MAENDELEO YA MOJA KWA MOJA YAWE YA VITU AU NADHARIA)
ubakaji umeanza miaka hii thanks to hao hao wazungu mnaowapa heko.Wale madomo zege wangekuwa wananeemeka, maana kwa jinsi viungo vingekuwa nje nje kusingekuwanna na haja ya kutongoza.
Kubaka kungekuwa mpango mzima.
Ni maoni yangu tu jameni.
Ni nani aliyeleta ustaarabu wa kuvaa suti na kulifanya liwe vazi la kiofisi?
Tuwashukuru kwa kila jambo
ChinaJitathmini wewe mwenyewe hapo ulipo, chochote ulichokivaa hapo kimetoka wapi?
Kwa hakika watu zamani walidunyana mno. Tofauti ni kwamba kule kudinyana kwa zamani hakukuitwa ubakaji, lakini kudinyana kunakofanana na kule leo hii kunaitwa kubaka.ubakaji umeanza miaka hii thanks to hao hao wazungu mnaowapa heko.
zamani walijistiri na hakukuwa na huo ubakaji mnaosema.
kuvaa suti ndo ustaarabu? hii hoja gani nayo? 😆, du. huu si ni utashi mzee? kwa maana hiyo wachina nao wanalaana hawana maarifa kwa sababu wanavaa suti za kizungu?. Nigeria & Ghana na jamii nyingi za kiafrika mbona zinavaa nguo za kiasili nzuri tu?Ni nani aliyeleta ustaarabu wa kuvaa suti na kulifanya liwe vazi la kiofisi?
Walioleta mfumo wa hela, ndio waliotengeneza watu kuwa wavivu kiuzalishaji.Wote tungekuwa wawindaji hakuna cha HR,MANAGER,MKURUGENZI WALA BOSI
Usipowinda unakula kwa macho
Je, yalikuwamaisha mazuri kuliko sasa?Mahari unawinda ka swala unapeleka ukweni wanakupa mke unafanya yako
leta vifungu.Kwa hakika watu zamani walidunyana mno. Tofauti ni kwamba kule kudinyana kwa zamani hakukuitwa ubakaji, lakini kudinyana kunakofanana na kule leo hii kunaitwa kubaka.
Hakuna kilichobadilika!