Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
😅leta vifungu.
😅leta vifungu.
Ngoja tusubiri michango ya wadau kwenye hiliKuna uwezekano wazungu ndio wametugundua na wakatugawa kwa makundi na kutupatia utambulisho (masai na wasukuma mashuka,shanga na mikuki ya chuma wamepata wapi wakati hadi leo afrika akuna mtu mwenye uwezo wakugeuza pamba kua kitambaa,jiwe kua chuma yani kupitia jiwe la chuma atoe shoka,mkuki)
Tatizo bila hizi bunduki Simba na tembo wangekuwa wengi, na wangekuwa wanatuua, unaenda shambani unavurumushwa na Simba unaliwa.....we was happy
unatoka zako asubuhi na magome yako ya miti kiunoni uaenda kuokota mihogo unarudi nyumbani unachemsha unakula kisha unalala
duh.wakati hadi leo afrika akuna mtu mwenye uwezo wakugeuza pamba kua kitambaa,jiwe kua chuma yani kupitia jiwe la chuma atoe shoka,mkuki)
Lakini si unaweza kwenda kuishi na Wahadzabe, hakuna atakayekuzuia,Bora tungebaki kama tulivyokuwa mkuu.
Hizo nguo ulizovaa hapo ulipo zimetengenezwa wapi?kuvaa suti ndo ustaarabu? hii hoja gani nayo? 😆, du. huu si ni utashi mzee? kwa maana hiyo wachina nao wanalaana hawana maarifa kwa sababu wanavaa suti za kizungu?. Nigeria & Ghana na jamii nyingi za kiafrika mbona zinavaa nguo za kiasili nzuri tu?
wamasai wanaoua simba wanatumia bunduki gani tena? dah yaani unasoma maoni ya watu unaenda kulilia chooni.Tatizo bila hizi bunduki Simba na tembo wangekuwa wengi, na wangekuwa wanatuua, unaenda shambani unavurumushwa na Simba unaliwa.....
Kabla ya china unayoijua leo, ustaarabu waliupata wapi?China
Sio kweli mzee, kulikuwa na machifu na machawa wao, na ma askari pia walikuwepo, na jamii zinakuwa complex kadri muda unavyoendaWote tungekuwa wawindaji hakuna cha HR,MANAGER,MKURUGENZI WALA BOSI
Usipowinda unakula kwa macho
yaani umefikiria weee umeiona hii ndio point yako kwamba ungeliwa na simba haya banaTatizo bila hizi bunduki Simba na tembo wangekuwa wengi, na wangekuwa wanatuua, unaenda shambani unavurumushwa na Simba unaliwa.....
made in arusha, kiwanda cha a-z industries. hivi kuvaa nguo za nje napo ndo kwamba africa haijitambui? mbona marekani wana import nguo nje? wao sio wastaarabu?Hizo nguo ulizovaa hapo ulipo zimetengenezwa wapi?
Na wangekuwa wengi sana kuliko binadamu, uzao wao mmoja unatoa zaidi ya vitoto 5Tatizo bila hizi bunduki Simba na tembo wangekuwa wengi, na wangekuwa wanatuua, unaenda shambani unavurumushwa na Simba unaliwa.....
bara la asia ustaarabu umeanzia huko huko asia ya kusini. kwamba unataka kusemaje?Kabla ya china unayoijua leo, ustaarabu waliupata wapi?
Umeathiliwa na nyuchi😀Wale madomo zege wangekuwa wananeemeka, maana kwa jinsi viungo vingekuwa nje nje kusingekuwanna na haja ya kutongoza.
Kubaka kungekuwa mpango mzima.
Ni maoni yangu tu jameni.
Fact.Umeathiliwa na nyuchi😀
kutahiriwa napo kaleta mzungu? duh jamani tutafute maarifa.Yasingekuwepo matumizi ya mkongo tungekuwa na nguvu za asili na mikono ya sweta kama yote