Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Kwa upande wetu tumechangia kitu gani katika hii dunia?, achilia mbali vitabu tunavyotumia huko vyuoni ili kupata uelewa na maarifa ni vya huko kwao.
Maarifa ya asili na tiba za kienyeji: Haya ni maarifa yaliyohifadhiwa na kuendelezwa kwa vizazi na vina mchango mkubwa hata katika tiba za kisasa.

Sanaa na utamaduni: Muziki, ngoma, uchoraji, na aina nyingine ya fasihi simulizi
 
Na sisi tupo nafasi ipi?
"Shithole" kwa mujibu wa Trump.

1788276668809.png
 
Nimekujibu simple sababu umekuja simple...kama unataka kuja vizuri tutajadiki kuhusu miundombinu ya umeme, maji, nyumba za bati, chanjo na tiba za magonjwa, kulima, kuchalata mazao na kuhifdhi kwenye magala, kusafirisha mazao na bidhaa mikoa ya mbali, mavazi, malazi Bora kipindi cha baridi n.k
huo umeme sasa hivi ndio unaona una umuhimu ila ahukuwa na umuhimu
yani mmetengezewa tatizo ilimmewe solution
 
Waliokuja mara ya kwanza na kutukuta tunavaa magome ya miti, walikuwa kina nani?
Kama alimaanisha Tanzania then ni Wairan, ukisoma Historia ya Almuli aliuza kilwa akapewa Nguo.

Ila kwa Dunia Persia, Ancient Egypt na China kwa kiasi kikubwa wamechangia Nguo tunazovaa sasa.

Mtu anakwambia Suti imetoka Uingereza ila ukiangalia kwa makini zaidi Suti ina tai, shati, Suruali etc.

Shati la kale kabisa linajulikana toka Egypt ya zamani
h2eewj37qq481.jpg

Hili shati Lina miaka 5000

Wairan walipeleka Ulaya vitu kama high heels, bohemian style, pajama, paisley pattern, cashmere shawl, caftan dress (Madera) mpaka miemvuli.

Same kwa wachina kuanzia shanga, wakaja na silk ambazo zilitumika Duniani kote etc.

Take your time Google wazungu walivaaje Zamani, hizi ni Nguo za Waroma ambao kwa Muda mrefu wao ndio walikua born town na wazungu wengine wakiishi kwenye mapango na misitu.

clothingdiagram.jpg
 
Wazungu pia ndiyo wamefuta civilization iliyofanyika Africans kabla ya wao, mengi yalikuwepo Ethiopia,West Africa huko mfano wa Mali empire
Civilization ya mwafrika haijamfundisha kuvumbua mashine, uvumbuzi wa kisayansi n.k na hii kupelekea kuona mtu mweusi hana mchango chanya katika maendeleo ya dunia.
 
Maarifa ya asili na tiba za kienyeji: Haya ni maarifa yaliyohifadhiwa na kuendelezwa kwa vizazi na vina mchango mkubwa hata katika tiba za kisasa.

Sanaa na utamaduni: Muziki, ngoma, uchoraji, na aina nyingine ya fasihi simulizi
Hizi zote hazina tija kwenye huu ulimwengu wa kisayansi
 
Hapana, kwanini unataka kulinganisha mitishamba na rockets? mzee athumani huko ludewa pengine ametibu watu wengi kuliko kampuni kama Pfizer
Sisi huku tumethamini vipi mchango wake?
 
Back
Top Bottom