namkumbukaUnamkumbuka yule Prof. aliyevuliwa uprofesa kwa 'plagiarism'?
namkumbukaUnamkumbuka yule Prof. aliyevuliwa uprofesa kwa 'plagiarism'?
Human resources pamoja vitu vingine kwenye career yangu ambavyo hata hao wazungu wanatumia japo kwa uchache
Alikuwa mzungu au mwafrika?Yeah namkumbuka
Alikuwa mweusiAlikuwa mzungu au mwafrika?
Tusiumize vichwa sana, nenda kwenye kabati lako, angalia asilimia 70 ya nguo zako zinatoka wapi?Kama alimaanisha Tanzania then ni Wairan, ukisoma Historia ya Almuli aliuza kilwa akapewa Nguo.
Ila kwa Dunia Persia, Ancient Egypt na China kwa kiasi kikubwa wamechangia Nguo tunazovaa sasa.
Mtu anakwambia Suti imetoka Uingereza ila ukiangalia kwa makini zaidi Suti ina tai, shati, Suruali etc.
Shati la kale kabisa linajulikana toka Egypt ya zamani
View attachment 3661323
Hili shati Lina miaka 5000
Wairan walipeleka Ulaya vitu kama high heels, bohemian style, pajama, paisley pattern, cashmere shawl, caftan dress (Madera) mpaka miemvuli.
Same kwa wachina kuanzia shanga, wakaja na silk ambazo zilitumika Duniani kote etc.
Take your time Google wazungu walivaaje Zamani, hizi ni Nguo za Waroma ambao kwa Muda mrefu wao ndio walikua born town na wazungu wengine wakiishi kwenye mapango na misitu.
View attachment 3661346
Uzi unajitoshelezaAlikuwa mweusi
Human resource kwa maana nimezaa hivyo nimeongeza rasilimali watu sikumaanisha HR. Na pia sielewi kwanini unafikiri mchango wa maana lazima uandike kitabu kikafundishwe abroad!Hiyo human resource, umesoma vitabu vya wapi, na je wewe umeandika vitabu vingapi vikafundishiwe Oxford, Manchester, Harvard n.k?
Huyu mstaafu ndio aliyetolewa ukumbini kwa agizo la mwenzake?
Vitabu vyake vipo vyuo gani huko nje?Human resource kwa maana nimezaa sikumaanisha HR. Sielewi kwanini unafikiri mchango wa maana lazima uandike kitabu kikafundishwe abroad!
Prof. Duwa Hamisi Chengula, huyu jamaa yupo MUST pale kwa sasa, fuatilia kazi zake google
Mpaka leo hii, si ajabu tungekuwa tukiishi maisha ya adam na hawaHayo maisha ya porini ndo ingekua mzuka!
Prof. Chengula regularly publishes his structural and highway engineering research in international journals. For example:His co-authored research on geopolymer binders and concrete compaction is published via global databases.His civil engineering models on highway engineering, pavement waterlogging, and soil stabilizers are accessible to global researchers via African Journals OnLine (AJOL) and the International Journal of Research and Innovation in Social Science (IJRISS).Vitabu vyake vipo vyuo gani huko nje?
Hivi katika miaka 60+ ya uhuru, nini chapekee tunefanya vizuri kama Watanzania? Uvumbuzi au ubunifu gani umefanyika? Sekta ya viwanda imekufa kabisa.Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mapaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.
Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.
Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.
Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.
Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.
Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.
Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.
Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.
Vitu vya kawaida hivyo, nikupe Title na wewe ufanyeProf. Chengula regularly publishes his structural and highway engineering research in international journals. For example:His co-authored research on geopolymer binders and concrete compaction is published via global databases.His civil engineering models on highway engineering, pavement waterlogging, and soil stabilizers are accessible to global researchers via African Journals OnLine (AJOL) and the International Journal of Research and Innovation in Social Science (IJRISS).
His materials are highly relevant to engineers working in volcanic and tropical regions abroad (such as parts of Latin America, Southeast Asia, and other East African nations). Engineers in these areas use his published formulas and datasets on volcanic cinder aggregates and Dynamic Cone Penetration Index (DCPI) to understand how to build durable, low-cost roads using local, marginal soils instead of expensive imported materials.
Bado hakuna kitu amefanya au!
Mimi sifanyi title kama wewe mkuu, mimi na-solve matatizo, ila kwa heshima ya uzi wako, nakubali. Nipe title.Vitu vya kawaida hivyo, nikupe Title na wewe ufanye
Maisha Wala yasingekuwa magumu maana ugumu unakuja pale kunapokuwa na kitu cha kuyalinganisha. Hata kipindi cha stoneaage watu waliona hayo ndo maisha Sasa na hasa walipokuja kugundua moto maisha yakawa kwenye viwango visivyomithilika
Watekaji wa Abdul wangekuwa wanatumia mishale na mikuki.Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mapaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.
Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.
Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.
Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.
Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.
Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.
Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.
Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.