Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mapaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.

Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.

Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.

Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.

Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.

Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.

Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.

Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.​

kingine pia sijui kama ni positive au negative lkn wazungu ndiyo culture pekee dunia hii ambayo watu wanaume/wanawake wanachagua mtu kuoa/lewa naye, culture nyingine zote kuanzia asia mpaka kwetu huku hatuchagui wa kuoa/lewa, mambo ya courtship ni unique kwa wazungu tu, ofcourse siku hizi dunia inaiga pia mambo ya courtship lkn kwa kawaida culture nyingi ndoa ni arranged marriage mwanaume anatafutiwa na wazazi/ndugu kila kitu wazazi/ndugu wanafanya halafu wawili wanakutanishwa na kuona.

lee kuan yew kiongozi wa kwanza ya post colonial singapore alielezea vizuri, alisema "westerners marry who they love, where easterners (wa-asia, arabs hata waafrika) love who they marry" i.e wazungu wana fall in love kwanza kabla ya kuamua kuoana na ambapo ni unique vs culture nyingine karibia zote wanaona halafu ndiyo wana fall in love wakiwa ndani ya ndoa or may be not ndiyo maana unasikia tanzagiza kila siku vilio wamechomana moto au wanataimiana usiku wamelalal panga la kichwa ...
 
kingine pia sijui kama ni positive au negative lkn wazungu ndiyo culture pekee dunia hii ambayo watu wanaume/wanawake wanachagua mtu kuoa/lewa naye, culture nyingine zote kuanzia asia mpaka kwetu huku hatuchagui wa kuoa/lea, mamboo ya courtship ni unique kwa wazungu tu ...
Ata huku kwa familia zenye uchumi/ utawala huwa wanachagua ni nani aoe/aolewe na familia zao. Nadhani ni ile hali ya kuiga kwa wazungu.​
 
wamasai wanaoua simba wanatumia bunduki gani tena? dah yaani unasoma maoni ya watu unaenda kulilia chooni.
Mzee hivi unajua kwa nini kuua Simba ni Ilikuwa ni ushujaa huko umasaini? Sababu Simba walikuwa wanaua watu sana, ikawekwa kuwa kumuua ni kitu cha kishujaa sana...
Lakini miongo michache baada ya bunduki kuja, Simba wamepungua sana na sio tishio, ukimuua Simba sasa hivi ni ujangili sio ushujaa tena...Bunduki imebadilisha mambo Simba ndio analindwa dhidi ya binadamu, sio binadamu kulindwa dhidi ya Simba
 
Ata huku kwa familia zenye uchumi/ utawala huwa wanachagua ni nani aoe/aolewe na familia zao. Nadhani ni ile hali ya kuiga kwa wazungu.​

yeah siku hivi wengi wanafanya lkn tumeiga hata asia nao wanachagua pia siku hizi lkn sehemu kubwa ya asia bado wanafanya arranged marrieges.
culture ya kuchagua i.e courtship kabla ya kuona ni unique kwa wazungu ambayo ofcourse siku hizi imeshasambaa dunia nzima, kuna mpaka dating apps ...
 
yaani umefikiria weee umeiona hii ndio point yako kwamba ungeliwa na simba haya bana
Nimekujibu simple sababu umekuja simple...kama unataka kuja vizuri tutajadiki kuhusu miundombinu ya umeme, maji, nyumba za bati, chanjo na tiba za magonjwa, kulima, kuchalata mazao na kuhifdhi kwenye magala, kusafirisha mazao na bidhaa mikoa ya mbali, mavazi, malazi Bora kipindi cha baridi n.k
 
Wakati kina Nikola Tesla wanapambana maabara kuleta umeme duniani.

Sisi waafrika ndio kwanzaa, tulikuwa tunawasha moto kwa kupekecha ulindi na ulimbombo.

Sasa hivi kina Elon Musk wanawaza kuanzisha maisha angani huko kwenye Mars, Waafrika huku tunawaza kuchakata mbunye na makebo makubwa kubwa!.

Ndio maana kila kukicha humu, threads za papuchi na makebo haziishi.

😂
 
Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.
kusema kwamba bila Wazungu tungeishi kama wanyama porini ni kauli isiyo na heshima na yenye kueneza dhana potofu kuhusu watu wa Afrika. Kauli kama hizi zinadhoofisha hadhi ya watu na zinakiuka utu na heshima tunazostahili kama binadamu.

Pia, ni muhimu kutambua kwamba ukoloni ulileta changamoto nyingi, ikiwemo ukandamizaji wa tamaduni, uchokozi wa rasilimali, na kuathiri vibaya maendeleo ya bara letu. Hivyo, tunapojadili mchango wa mataifa mbalimbali katika maendeleo ya dunia, ni lazima tuchukue kwa makini historia yote, tukizingatia mafanikio na changamoto kwa usawa.

Nimalize kwa kusema kwamba huna exposure ya kutosha kuhusiana na mada yako, nenda Europe uone namna gani watu weupe wanaishi halafu urudi kutwambia wapi wanaishi kama ngedere
 
Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mapaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.

Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.

Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.

Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.

Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.

Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.

Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.

Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.​
"Wa kwanza Mungu ,wa pili mzungu" - Man Fongo
 
Wakati kina Nikola Tesla wanapambana maabara kuleta umeme duniani.

Sisi waafrika ndio kwanzaa, tulikuwa tunawasha moto kwa kupekecha ulindi na ulimbombo.

Sasa hivi kina Elon Musk wanawaza kuanzisha maisha angani huko kwenye Mars, Waafrika huku tunawaza kuchakata mbunye na makebo makubwa kubwa!.

Ndio maana kila kukicha humu, threads za papuchi na makebo haziishi.

😂
Najaribu kufikiria, mfano leo hii wakasema hawataki dhahabu, Tanzanite au almasi, sisi hayo madini tutayatumia kutengeneza nini?
 
kusema kwamba bila Wazungu tungeishi kama wanyama porini ni kauli isiyo na heshima na yenye kueneza dhana potofu kuhusu watu wa Afrika. Kauli kama hizi zinadhoofisha hadhi ya watu na zinakiuka utu na heshima tunazostahili kama binadamu.

Pia, ni muhimu kutambua kwamba ukoloni ulileta changamoto nyingi, ikiwemo ukandamizaji wa tamaduni, uchokozi wa rasilimali, na kuathiri vibaya maendeleo ya bara letu. Hivyo, tunapojadili mchango wa mataifa mbalimbali katika maendeleo ya dunia, ni lazima tuchukue kwa makini historia yote, tukizingatia mafanikio na changamoto kwa usawa.

Nimalize kwa kusema kwamba huna exposure ya kutosha kuhusiana na mada yako, nenda Europe uone namna gani watu weupe wanaishi halafu urudi kutwambia wapi wanaishi kama ngedere
Kwa upande wetu tumechangia kitu gani katika hii dunia?, achilia mbali vitabu tunavyotumia huko vyuoni ili kupata uelewa na maarifa ni vya huko kwao.
 
Back
Top Bottom