Aina hii ya utetezi mnaipenda sanaHoja ina utata mkuu. Maendeleo hayakutokana na jamii moja pekee; ustaarabu umejengwa kwa mchango wa mataifa na jamii mbalimbali duniani. Kila upande una nafasi yake.
Aina hii ya utetezi mnaipenda sanaHoja ina utata mkuu. Maendeleo hayakutokana na jamii moja pekee; ustaarabu umejengwa kwa mchango wa mataifa na jamii mbalimbali duniani. Kila upande una nafasi yake.
Kama kuku, wakati wowote mahali popote sioKwa hakika watu zamani walidunyana mno. Tofauti ni kwamba kule kudinyana kwa zamani hakukuitwa ubakaji, lakini kudinyana kunakofanana na kule leo hii kunaitwa kubaka.
Hakuna kilichobadilika!
Native Americans hawakuwa wazungu.jamii kadhaa kuvaa magome ya miti haifanyi waafrika wote eti ndo walitumia magome ya miti. hata hao wazungu walivaa magome ya miti(native Americans)
Subiri watakuja kukwambia habari za mapiramidi ya Misri.Mimi sidhani kama jamii za watu weusi hasa afrika kama walikua na mchango wa maendeleo ya dunia kupitia maalifa yao,gunduzi zao,tamaduni zao (NJE NA UTUMWA MTU MWEUSI HAKULETA MAENDELEO YA MOJA KWA MOJA YAWE YA VITU AU NADHARIA)
''The impact of jf to the slow learners''Mimi sifanyi title kama wewe mkuu, mimi na-solve matatizo, ila kwa heshima ya uzi wako, nakubali. Nipe title.
Maisha bora ni kutaka unavyotaka kuwa bila ghasia za survival modeKupata mahitaji yote ya msingi na kuishi katika mazingira bora
Nadhani mifumo ikiwezeshwa na ikawa na nia, inaweza kuleta matokeo chanyaHivi katika miaka 60+ ya uhuru, nini chapekee tunefanya vizuri kama Watanzania? Uvumbuzi au ubunifu gani umefanyika? Sekta ya viwanda imekufa kabisa.
China, sio 70 ni karibia 100Tusiumize vichwa sana, nenda kwenye kabati lako, angalia asilimia 70 ya nguo zako zinatoka wapi?
Mwaka 1884 China walikuwa kwenye hali gani?China, sio 70 ni karibia 100
Kwanini 1884? Mwaka 1883 watu walikua hawavai Nguo?Mwaka 1884 China walikuwa kwenye hali gani?
Kwa style yoyote.Kama kuku, wakati wowote mahali popote sio
❌we was happy
Wazungu shenzi sanaKwa style yoyote.
Kila wanachofunya sisi tunawafuata tu.Wazungu shenzi sana
Yeah tungeishi kulingana tu na mazingira coz mpaka leo Kuna tamaduni watu wanaishi primitively na hawaoni kama kuna shida ila wewe na Mimi ambao angalau tumeonja usasa tunawaona washamba mfano jamii za kifugaji kama wamasai, wahadzabe, wasukuma, wagogo, wabarbaig, nk ila jamaa wako comfortable na wanakuona wewe ndo wakuja.Kwa hiyo tungeishi kutokanana mazingira yalivyo; kwa hiyo tuwalaumu wazungu kwa kuja na vitu vya kulinganisha? Na kwanini walifanya hivyo?
Lakini Bado poa tu imagine hata solar panels tungekuwa hatuna 🙄Kila wanachofunya sisi tunawafuata tu.