Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,876
- 7,621
Wenzetu shule mlisomea wapi?, nani kakwambia maendeleo yameletwa na wazungu?, bila hao Miungu watu wenu hii dunia ingekuwa mahala salama sana kwa maisha ya watu hasa waafrika.
Mnasema wameleta nguo je kabla ya ujio wao waafrika waliishi vipi?, kuna namna wenzetu muwe mnarudia kusoma notes za historia hasa darasa la 4 mpaka la 7, hapo mtaona mambo ambayo waafrika waliyaishi kabla ya ujio wa ukoloni.
Hamjifunzi kuwa kuna jamii za waafrika zilistaarabika mapema kuliko hao Miungu wenu wazungu?, jamii zilizoendelea kwenye ufumaji wa materials za kutengeneza vitambaa vya nguo, mifano ya mavazi ya kitamaduni, pia zipo jamii zilizovaa mavazi kutoka kwa jamii zingine za uarabuni kama kanzu baada ya shughuli za kibiashara na exchanges ya bidhaa kwa bidhaa.
Zipo jamii zilizokuwa tajiri na zenye technology kubwa kuliko nchi yoyote ile hapo ulaya kabla ya ukoloni, tembelea hapo west afrika ambako kulikuwa na chuo kikubwa duniani, wazungu wengi mnaowajua kuwa wamevumbua baadhi ya technolojia wamesomea hapo.
Sijaongelea biashara kubwa za madini mnadhani technology ya uchimbaji madini ilitoka ulaya?, jamani tusome tuache kuandika TAKATAKA mitandaoni ili kupata attention, kama jambo hulijui ni bora kuchunguza kabla ya kupost ujinga wako.
Waafrika wameharibika hivi karibuni baada ya ukoloni kwa kukumbatia hizo dini, mifumo ya uongozi (demokrasia ya ubepari, ujamaa na udicteta) ambayo ni mifumo ya watu weupe, bila kusahau elimu tegemezi.
Afrika haikuhitaji mtu mweupe ili iendelee maana Afrika ndio chimbuko la maendeleo, mahesabu yete mnayojifunza ktk masomo yenu waanzilishi ni watu weusi, jiulizeni zile pyramids zilijengwa vipi Afrika kama hakukuwa na wataalamu wa masuala ya hesabu, unajimu, elimu ya anga na mwanga?, elimu ya afya, matibabu na utabibu wa kuhifadhi miili kwa zaidi ya miaka 1,000 imezekana vipi?.
Afrika imeharibika baada ya mababu zetu waliosaliti wenzie kwa kuwauza na kufanya njama za kuiangusha Afrika wakishirikiana na hao watu weupe wazungu kwa waarabu ambapo ndio haya matatizo yanaendelea mpaka leo wanaitawala afrika kila angle, kifikra, kiimani mpaka kiitikadi, kwa kuwaaminisha Afrika haikuwa lolote kabla ya ukoloni.
Huwa nashangaa sana vilaza wanaodhani Afrika bila hao watu weupe isingekuwa lolote, au haikuwa lolote, hivi wenzetu akili mnaweka wapi, kuna vyanzo vingi vya kupata maarifa kwanini hamvitumii kupata majibu ya UPUMBAVU wenu?.
Afrika ya sasa si ile ya zamani, kama mababu wa maelfu ya miaka wakifufuka hivi leo wakaiona Afrika ya leo ilivyo, nina hakika watakilaani hiki kizazi kwa kuacha Asili yao na ukuu wao na kugeuka watumwa wa hicho kizazi cha laana (white men).