Wakati kina Nikola Tesla wanapambana maabara kuleta umeme duniani.
Sisi waafrika ndio kwanzaa, tulikuwa tunawasha moto kwa kupekecha ulindi na ulimbombo.
Sasa hivi kina Elon Musk wanawaza kuanzisha maisha angani huko kwenye Mars, Waafrika huku tunawaza kuchakata mbunye na makebo makubwa kubwa!.
Ndio maana kila kukicha humu, threads za papuchi na makebo haziishi.
Hizi zote hazina tija kwenye huu ulimwengu wa kisaya
Civilization ya mwafrika haijamfundisha kuvumbua mashine, uvumbuzi wa kisayansi n.k na hii kupelekea kuona mtu mweusi hana mchango chanya katika maendeleo ya dunia.
Rudi kasome upya historia hasa ya shule ya msingi, wazungu wameichakachua elimu lkn kuna mambo waliyaacha.
Ukisoma vzuri historia utagundua hiyo civilization ilianzia Afrika maelfu ya miaka kuanzia Central Afrika, ikaja East, south, north na west ambako ndiko iliibuka falme ya misri ambayo wengi mnaijua na mnadhani misri ile ilijengwa na waarabu na pia mpo mnaodhani Misri ndio chimbuko la Afrika kumbe si kweli.
Mataifa ya nje kama ugiriki, Roma na hao waarabu, wahindi, wachina, japan wote hao wamestaarabika kutoka misri ambayo ni mtoto wa mwisho kabisa wa Afrika au tuseme ktk falme kongwe za Afrika misri ndio falme ya mwisho ambayo wengi wanaitumia kama feedback/relevance ya Afrika ya kale sababu hamtambui kabla yake kulikuwa na nini.
Ustaarabu wote wa hao watu weupe na ushawishi wa dini zao ulianzia au umetoka misri maana hata huyo yesu wenu wa dini au yule issa bin mariam ni Copy ya shujaa aliyeishi Afrika ambaye stories zake watu weupe walizitoa hapo misri.
Stories za Musa, ibrahimu na akina Nuhu wamezitoa afrika, akina Aristotle na TAKATAKA zingine zimesoma misri, elimu ya Uungu na ustaarabu wameitoa Afrika.
Mnatakiwa mjue kuwa Afrika imesurvive kwa mabilioni ya miaka kabla ya huo ukoloni wenu ambao umeharibu fikra zenu, Afrika ina historia kongwe na ndio chimbuko la kila kitu duniani, ndiomaana wazungu na watu weupe wamejazana Afrika ambako wanawaaminisha ni masikini.
Lakini wamejazana wanatafuta mambo mengi nje ya resources mnazodhani wanahitaji kumbe kuna siri nyingi wanazitafuta ambazo kizazi cha hovyo msiopenda kusoma hamujui.
Mfano kile mnachokiita sanduku la agano lipo hapa hapa Afrika, Milango ya kuhama/kuingia nje ya ulimwengu huu ipo Afrika ambako hata hapo misri ktk zile pyramids ilitumika na wataalamu kutaka kuingia ktk ulimwengu mwingine na ndio hata dini zenu zinasema mnara wa babel ambao watu waliujenga ili kumfikia Mungu, which is pyramids zinazofungua Portal za kuingia huko(spiritual world).
Hata movies zao wanazoigiza mnashindwa kuzielewa japo zinaeleza mambo kwa uwazi sana.
Someni jamani kuna mengi ya kujivunia kama waafrika