Heri ya mwaka mpya kwangu. ❤️
Huu ni mwaka mwingine kwenye maisha yangu 🤗
Katika mwaka huu mpya, nazika ya kale yasiyo na manufaa
Nikibeba tu mafunzo yaliyonijenga
Sitaki tena kubeba maumivu...
Mungu amenipa zawadi ya kuingia miaka 29
Juzi tu nilikua mtoto, leo nimekua mtu mzima.
Sasa najiona nimekua mkubwa.
Naombeni uzoefu wa 30s nianze kuzoea.
Maisha yetu yanatengenezwa na mlolongo wa matukio
Utotoni tunapitia mengi saana...hebu taja sehemu ya utotoni kwa sababu zozote zile huwezi kuisahau kamwe...yani utasahau vyote lakini sio hiyo...
Totozi kama hizi kama hauna inch za kutosha , bora uachane nazo ni upotevu wa pesa yako 🤔
Hizi ishia kuzilia nyero kwenye chudai tu , okoa kibunda chako kwa wivu mkubwa sana👇
NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia.
Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza...
Ukienda bank unakuta kalamu zimefungwa na kamba, siyo kwamba wanaogopa wateja wataiba, ila wanajua wateja ni binadamu anaweza kujisahau na kuihamisha kisha kusababisha usumbufu kwa watumiaji...
Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma.
Halafu kwa makusudi kabisa akasimama akatoka kwenda...
Kama mtu anaweza kusimama na na kudanganya wananchi kuwa ataweletea maziwa na asali na baada ya miaka mitano kuisha unamuona LC300 binafsi , hayo maziwa na asali mnayaona tu you tube then kwanini...
Unatoka kwenye ndoa kwa mbwembwe kwamba unakwenda "kutafuta maisha", halafu mala pap! Ex-mume wako anakukuta mtaani umejitwisha deli la matikiti unatembeza, unakula jua lako na mvua yako. Raha...
Ebu chukua nondo za milimita 6, vikatekate viwe vipande vidogo, chukua
flat bar uikate kwa kipimo maalumu.
Chukua vile vipande vidogo vidogo vya nondo vichomelee kwenye flat bar.
Hicho...
Hii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee
Unakuta bado kuna watu wanakula hii
Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.