Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia.

Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike?

Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.​
 
IMG-20260804-WA0310.jpg
 
Kuwa tajiri sio sifa, Nchi nyingi zenye Mabilionea wengi ndio hizo hizo zina umasikini wa Kutupwa,

Usa, China na India zinaongoza Duniani kwa Mabilionea ila pia zina umasikini na income inequality kubwa, sehemu kama India ndio usiseme afadhali hao wengine.

Nchi kama Norway, Finland Nchi za Ghuba, na Baadhi nyengine za ulaya zina standard kubwa sana za maisha na wananchi wengi wanalipwa ila hazina mabilionea wa Kutisha, mfano Finland Haina hata mabilionea 10 na Tajiri zaidi ana $4B usd tu, ila quality ya maisha, Afya, Elimu kwa kila mwananchi ni kubwa mno compare na Usa, China na India.
 
Hao matajiri wanatengenezwa au wanajitengeneza?
 
Back
Top Bottom