Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

Nadhani inategemea policy za nchi husika mf nchi za kidemocracy mchi ndio zimefanya watu wakawa matajir then utaji ukajaa nchini na kuwarudishia tena watu ila nchi nyingi za kidikteta na ujamaa matajir ndio wanatajiwa kujenga nchi yaani mtu atajua mwenyewe apataje ili ajenge nchi
 
Sio kwamba wa Asia wana upeo mkubwa wa kutafuta fursa?
Mfano Bibi titi , hamza mapachu na etl , wamepigania Nchi hii kupata uhuru, unafikiri walikuwa hawajui matunda, fursa zilizopo Tanganyika ?

Labda usemwe sera za kijamaa ndio zilikuja kuharibu ndoto za wa Tanzania, lakini Muna Elimu Nzuri na upeo wa kufikiri sana kuongoza Nchi yenu
 
Nadhani inategemea policy za nchi husika mf nchi za kidemocracy mchi ndio zimefanya watu wakawa matajir then utaji ukajaa nchini na kuwarudishia tena watu ila nchi nyingi za kidikteta na ujamaa matajir ndio wanatajiwa kujenga nchi yaani mtu atajua mwenyewe apataje ili ajenge nchi
Una hoja
 
Mfano Bibi titi , hamza mapachu na etl , wamepigania Nchi hii kupata uhuru, unafikiri walikuwa hawajui matunda, fursa zilizopo Tanganyika ?

Labda usemwe sera za kijamaa ndio zilikuja kuharibu ndoto za wa Tanzania, lakini Muna Elimu Nzuri na upeo wa kufikiri sana kuongoza Nchi yenu
Kwa hiyo, inawezekana sera zetu zikawa ndio chanzo cha watu kuwa masikini?
 
NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia.

Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike?

Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.​
Nchi
 
Sio inaweza ndio Hali halisi.

Japo na ona serikali ya Sasa kama inataka kufanya jambo jema kwa wananchi wake
Jambo lipi, na litasaidiaje katika kujenga matajiri?
 
Wenzetu wana mifumo inaitwa "venture capital funding scheme". Ni rahisi sana kuwa tajiri ulaya na Marekani kama unawazo la kipekee au uvumbuzi. Ni rahisi sana kutajirika huko mbele ukiwa na maarifa hitajika.
 
Huku kwetu tunafeli wapi?
 
Huku bongo CCM inawapa utajiri wa Asians na kuwaacha wazawa wakiwa na Hali mbaya kiuchumi
Wakina bakhresa,gsm,dewji,rostam na ponjoro wengine ccm imewatajirisha sana ila leo kuna washamba wanaamini hawa utajiri ulitoka kwa babu zao
NB;kwenye utajiri wao hawa kuna wanasiasa ikiwemo mwinyi family
 
Hao matajiri wanatengenezwa au wanajitengeneza?
Mostly mifumo inasaidia, mfano kwa USA kuongeza Utajiri ukiwa tayari ni Tajiri ni rahisi ndio maana unaona matajiri wengi wa USA Asili Yao sio pale wamehamia. Sheria ina matobo mengi inamfanya Tajiri asilipe income tax.

Ila Ulaya ni Vice versa Nchi nyingi zenye maisha mazuri Kodi ni kubwa hivyo inakua ngumu kutoboa na kuwa Tajiri Sana, mfano hapo Finland income tax ukizidi Euro 50,000 inafika Asilimia 37 kuwa Tajiri Sana ni ngumu, ila siku zote matajiri wakiwekewa Kodi kubwa masikini wananeemeka na public infrastructure zinakua nzuri.
 
Yah Finland kwenye upande wa Kodi, Wana utaratibu Nzuri wa kukusanya Kodi, bila tasks force Wala nini
Na pia Kodi zinatumika effectively.

Shule za public nchini Finland Zina Hali Nzuri kiasi kwamba zinalingana na za private
 
Kuwa tajiri sio sifa, Nchi nyingi zenye Mabilionea wengi ndio hizo hizo zina umasikini wa Kutupwa,

Usa, China na India zinaongoza Duniani kwa Mabilionea ila pia zina umasikini na income inequality kubwa, sehemu kama India ndio usiseme afadhali hao wengine.

Nchi kama Norway, Finland Nchi za Ghuba, na Baadhi nyengine za ulaya zina standard kubwa sana za maisha na wananchi wengi wanalipwa ila hazina mabilionea wa Kutisha, mfano Finland Haina hata mabilionea 10 na Tajiri zaidi ana $4B usd tu, ila quality ya maisha, Afya, Elimu kwa kila mwananchi ni kubwa mno compare na Usa, China na India.
Nchi za Waarabu za Gulf mabilionea ni wengi ila haiwekwi wazi rasmi (ni siri)na wengi wa hao mabilioniea ni kutoka familia za kifalme au watu wa karibu na familia za Kifalme.
 
Nchi za Waarabu za Gulf mabilionea ni wengi ila haiweki wazi rasmi (ni siri)na wengi wa hao mabilioniea ni kutoka familia za kifalme au watu wa karibu na familia za Kifalme.
It's like this, royal family wanamiliki nchi wanaweza wakatumia hela wanavyotaka ila hawazimiliki hizo hela, Kesho Salman akifa mwanae harithi Mali zake, bado zinaendelea vile vile kuwa Mali ya royal famili. Na Baadhi ya Nchi za Gulf unakuta Royal family ni karibia nchi nzima. Mfano Qatar Royal family Ina watu kama 30,000 na Nchi nzima wapo kama 300,000, so unakuta ngumu kukuta mtu sio royal family ama ndugu yake, mke wake, mke wa mjomba etc hatoki huko, it's like nchi nzima wanajuana.

Hata hizo familia nyengine ambazo sio royal family zinakua na vyeo vikubwa (Shura) ambapo viongozi wote wa familia wanaaamua mambo ya nchi ijiendeleze vipi.

Mwisho wa siku wote wana maisha mazuri, ukijifungua unalipwa mshahara, ukiwa huna kazi unalipwa mshahara, mwanafunzi analipwa mshahara, ukiumwa Bure kutibiwa na hospitali ya nchi ikishindwa kukutibu Serikali inakupeleka nje, wana benefits kibao compare na hizo nchi zenye Mabilionea wengi.
 
Mostly mifumo inasaidia, mfano kwa USA kuongeza Utajiri ukiwa tayari ni Tajiri ni rahisi ndio maana unaona matajiri wengi wa USA Asili Yao sio pale wamehamia. Sheria ina matobo mengi inamfanya Tajiri asilipe income tax.

Ila Ulaya ni Vice versa Nchi nyingi zenye maisha mazuri Kodi ni kubwa hivyo inakua ngumu kutoboa na kuwa Tajiri Sana, mfano hapo Finland income tax ukizidi Euro 50,000 inafika Asilimia 37 kuwa Tajiri Sana ni ngumu, ila siku zote matajiri wakiwekewa Kodi kubwa masikini wananeemeka na public infrastructure zinakua nzuri.
Kwa hiyo unashauri tuendelee kutengeneza masikini wengi?
 
Back
Top Bottom