JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ijumaa naenda camping kwa siku 3. 🏕️ Bila simu bila internet bila kilevi bila kelele bila mawasiliano. Nataka tu kutulia, kutafakari, kusikiliza nafsi yangu na kuweka focus kwenye kile ambacho...
7 Reactions
14 Replies
237 Views
Ni kipi haukipendi kwa mchumba wako??
1 Reactions
4 Replies
54 Views
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito. 1. Ana sumu inayoweza...
20 Reactions
210 Replies
12K Views
Soma reply yake 🤣🤣🤣 Huyu jamaa kama Ally Nadin ( Mind your language comedy)
2 Reactions
4 Replies
132 Views
Miaka ya 2003 kipindi cha ujana wangu ,na hapo movie mbalimbali zimetoka kwa fujo 😅 Kama muhanga wa movie, nikakutana na movie la spattacus hii anaijuia Seran na Vincenzo Jr mtaalamu wa...
13 Reactions
66 Replies
638 Views
Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni...
4 Reactions
16 Replies
593 Views
Pumbavu zenu nyie mnaojiita single boys and girls na uko above 20yrs na hutaki kuoa au kuolewa, kama mda huu hujampata Adam wako au Eva wako jua wewe ndio NYOKA. Ukichukia njoo hapa nje nimekaa...
5 Reactions
40 Replies
365 Views
Ni siku yangu ya mwisho hapa asanten kwa mda tuliokuwa nao. Mmenifunza mengi mumekuwa na mchango mkubwa katika maisha yangu asanteni. Kwaherini twonane milele...
9 Reactions
111 Replies
2K Views
Taja zilipendwa na bongoflava au hip hop ya zamani. Mi nilipenda sana Rangi ya chungwa,kasuku na Mikononi mwa polisi Mr.II
3 Reactions
124 Replies
28K Views
Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake. Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted...
5 Reactions
14 Replies
210 Views
Ni scum Ni Mr kuku Ni ponzi scheme Ni project ya wanakamati kula pesa zenu alafu wanawapa pilau kuku na soda Haiwezekani mtu anakuunga kwenye group ghafla anacheka na wewe sio kawaida yake na...
10 Reactions
21 Replies
230 Views
Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda. Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani...
2 Reactions
5 Replies
674 Views
  • Redirect
Nimekosa sana sistahili tena kuishi, mimi ni mwenye dhambi ila kabla sijakata roho naungama dhambi zangu zote nisamehewe
7 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Natubu yote niliyoyatenda mm nimwenye dhambi sistahili kamwe tena.nipokeen huko ninapokuja -THE END-
1 Reactions
– Replies
– Views
🎶 Ni wimbo gani wa Desemba unaupenda zaidi? Chagua moja au zaidi na tuma list yako! 1️⃣ ‘Jingle Bells’ 2️⃣ ‘Silent Night’ 3️⃣ ‘We Wish You a Merry Christmas’ 4️⃣ ‘Last Christmas’ 5️⃣ Wimbo...
2 Reactions
39 Replies
889 Views
Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine. Je, wewe kwa...
6 Reactions
81 Replies
466 Views
Siyo uungwana na ni ukatili mkubwa kutumia hii meme.
6 Reactions
8 Replies
239 Views
Back
Top Bottom