JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa, Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni...
18 Reactions
225 Replies
2K Views
Nyie mnaonita kidume mnakosea.mm kiuhalisia ni wa kike ila napenda kutumia jinsia zote mbil for identification.
4 Reactions
49 Replies
458 Views
Wananzengo habarini za weekend. Nimekaaa nikatafakari namna jamii inavyotarajia tuishi tangu utotoni mpaka uzeeni, kwa maana ya kwamba kwenye kila hatua ya ukuaji wako kuna mambo unatarajiwa...
10 Reactions
92 Replies
769 Views
Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa. Wewe...
8 Reactions
33 Replies
461 Views
Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF, Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile! Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa...
23 Reactions
865 Replies
10K Views
Kuna msemo mmoja unaenda hivi "when a guy has a crush on a girl every one knows knows but the crush, but when a girl has a crush on a guy no one knows but the crush" Hivyo ndugu zangu ni kheri...
17 Reactions
340 Replies
4K Views
Kuna jamaa yangu alikwenda kutafuta kazi kwenye kiwanda cha nondo akapata anasema ile shuruba ya mle ndani alitamani atoroke kabla hajalipwa kwa ugumu wa kazi amalipo madogo, anasema wakikutajia...
3 Reactions
17 Replies
545 Views
Hali ya hewa uko kwenu ikoje leo?
2 Reactions
2 Replies
63 Views
Hii kazi ya mtu kupost kitu JF mnaanza kusema huyu ni mwanamke anakuja kiume, cjui ni mwanamme anakuja kike kike muache. Mfano mim ni me afu mtu kabisa na akili zake anasema mimi n dem pumbavu...
16 Reactions
203 Replies
1K Views
Hellow wakuu. You see this Nyash. Don't let Nyash make you blind use your upper head.
15 Reactions
162 Replies
1K Views
Kupenda ni sanaa Kupenda ni hisia Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji. Usitafute tu nafasi kwenye macho yake, tafuta mizizi kwenye fikra zake. Mfanye akukumbuke sio kwa sababu...
15 Reactions
92 Replies
859 Views
Seran ujue nakuzimia mke !
11 Reactions
303 Replies
3K Views
Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo..... Yeye: Wazo gani mpenzi..?? Mimi: Nimepata wazo la kukuoa Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe...
14 Reactions
26 Replies
365 Views
Wikiend hii sitaki kutembelea maeneo ya starehe kabisa, bali nataka niitumie vizuri kwa kuwinda vindege mbalimbali; kama nitapata kanga, njiwa, kwelea kwelea, kware n.k sawa tu, na kama...
3 Reactions
18 Replies
115 Views
Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu Ile kukifunua kuanza kukisoma...
2 Reactions
3 Replies
84 Views
Miongoni Mwaa Dalili za Changamoto Ya Afya ya Akili Ni 1.kwenda Nyumba za wageni Wakati wewe Ni Mwenyeji. 2.Kutuma Na Ya Kutolea Ili Aje Uyo Unaekutana nae. 3.Kulalia Mashuka Ambayo Wengine...
5 Reactions
33 Replies
322 Views
Kama akipata bwana mpya na huyo mwanaume akaamua kunipa 500,000 ili nimuache.... je nitakubali?? Nilicho kifanya, nimempa my account number niwekewe hiyo pesa chap....🤗 Au nimekosea wakuu...😎
4 Reactions
30 Replies
228 Views
Salaam jamiiforum. Leo ni siku ya ijumaa tulivu,siku ya mwisho wa wiki Kwa wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi. Ndiyo siku maalumu wengi wanaenda sehemu mbalimbali za starehe iwe clubs,bar na...
1 Reactions
2 Replies
90 Views
Kijana umeishia elimu ya darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, au cheti, diploma, au digrii isiyokuwa na mashiko, na hutaki kazi za kutembeza vitu, kazi za bar, kazi za ndani, kazi za...
6 Reactions
53 Replies
412 Views
Kuna siku nilijaribu kumtukuza mtukufu madam na taasisi yake humu JF Nilitaka kutupa simu na nilijiona kweli mimi sina uvumilivu tena hapo nilijiandaa Sipati picha hao jamaa wana mioyo gani hata...
15 Reactions
41 Replies
408 Views
Back
Top Bottom