Hahahaha,sawa sawaAnza wewe kwanza kuwa-tag, halafu tuendelee.
Kwa style nyinginewanakuja
cocochanelWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto hebu watag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe!enzi ile.
Enzi za kina DemisWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto hebu watag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe!enzi ile.
Una uhakika gani walikuwa wadada?Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto hebu watag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe!enzi ile.
Mwamba kabisa huyu. Ka join may 29 2012, ka left may 29 2012 😁Naanza SHAKIRA