😀😀😀 style yao ni ileile tuKwa style nyingine
tajiri heshima yakoUmemiksi wa enzi anazotaka mleta mada na kizazi kilichofuata...
Nimechanganya maana hao ndio walikuwa pisi kali za kwenda.Umemiksi wa enzi anazotaka mleta mada na kizazi kilichofuata...
Mwamba kabisa huyu. Ka join may 29 2012, ka left may 29 2012
Duh hii list kitambo sanaMzee baba...
Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...
Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...
Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa...
HahahahaMzee baba...
Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...
Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...
Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa.
Sizani kama kuna wadada... Ungesema WAMAMA WAKUBWA WAKUBWAWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto hebu watag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe!enzi ile.
Kuna pisi ilijiita marejesho😂Mzee baba...
Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...
Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...
Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa..
Bantu Lady niliwahi kumuona page flani humu, lile umbo limenikaa akilini mpaka leo maika 3 imepita. I'm crayzly missing you here mwananchi mwenzangu.Bantu lady
Valentina
Angelicious
Huyo Alifariki [warumi]Kuna yule mwandika udaku alikua girlfriend wa jamaa wa makala za ujasjusi nimemsahau .
Huyo AlifarikiKuna yule mwandika udaku alikua girlfriend wa jamaa wa makala za ujasjusi nimemsahau .