FaizafoxYule mama alikuwa anatukosoa tukiandika vibaya utasikia huko chuo mlienda kusomea ujinga ,sema nimesahau jina
Asante sana kwa kunikumbusha huyu mdada,nampenda sana,
DaahEnzi za kina Demis
Dem anajidai pisi kumbe andunje
Kina wewe, watoto wa afmbili.😅wamebaki wachache kutokana na majukumu saivi wapo wadogo zao
🤣🤣🤣,sema enzi hizo nilikuwa Bado chalii sana,nilikuwa nasoma tu.Asante sana kwa kunikumbusha huyu mdada,nampenda sana,
Jolie popote ulipo tambua kwamba bado nakupenda na ninaendelea kukusubiri.
Nilishawahi usoma uzi unaozungumzia kifo chake humu jfBasi tufanye kwa upande wako alikua wa kike ila ukweli ni kwamba alikua wakiume,kuna uzi humu wa msiba wake utafute.
Kwa faida gani sasaUna uhakika gani walikuwa wadada?
Midume siku hizi inajibebisha anonymously. Unatag unajua ni mdada kumbe ni kijeba ambacho kidevu kimekomaa kama msasa
Wewe si ulinikataa,na mimi nikakupotezea ila ipo siku utanikumbuka tu ila utakua umesha chelewa.🤣🤣🤣,sema enzi hizo nilikuwa Bado chalii sana,nilikuwa nasoma tu.
Wewe tena,mr penda penda🚶♀️🚶♀️
Utakuwa hivo maana miaka inaenda mbele hairudi nyumaKuna mambo nikiwaza naona ajabu sana
Eti kuwa na mtoto,eti na mimi nitakuja kuzaa,kuitwa mama hadi labda kupata wajukuu 😂😂