win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
ndio mimi ni mkubwa,,Nani mkubwa, wewe? Kumbe taarifa zako zipo kwa Mshamba_hachekwi?😅
sijamaanisha hivyo babu😫 ila nishawahi kuselfika kule akanidaka woi😀
ndio mimi ni mkubwa,,Nani mkubwa, wewe? Kumbe taarifa zako zipo kwa Mshamba_hachekwi?😅
Gen Z huyo, size yangu kabisa.Nani mkubwa, wewe? Kumbe taarifa zako zipo kwa Mshamba hachekwi?😅
Kwa kawaida hua simfuati Mwanamke mara mbili,hii ni formula yangu.Yana ukweli,yazingatie📌
Ewaa japo umesahau kunitag😅😅Mzee baba...
Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...
Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...
Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa...
Utashangaa ukiambiwa ni yule!itakuwa analea vijukuu vyake huko tandale kwa tumbo
KabisaWanawake wengi wa zamani ukitag ID zao haziji.
Daah,walikuwa wanamuita buku saba😀Sikumbuki ID yake.
Hivi hiyo stori ilikuwa ya kweli au uzushi tuu.Daah,walikuwa wanamuita buku saba😀
SweetFlower huyo.Daah,walikuwa wanamuita buku saba😀
Inasemekana.Alikuwa na multiple ID?
Daaah wanaume wabaya sana 😀SweetFlower huyo.
Alienda Hotelini na sweta lake la bendera ya taifa.Daaah wanaume wabaya sana 😀
Ukisikia hit and rud, Ndo h sasa 😂Mwamba kabisa huyu. Ka join may 29 2012, ka left may 29 2012 😁