Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Itakuwa mtandao, nichek kwenye email 😎Hupokei sasa 😎
Itakuwa mtandao, nichek kwenye email 😎Hupokei sasa 😎
Huyo Alifariki
Itakuwa mtandao, nichek kwenye email 😎
Hao wakina Dada wameshakuwa watu wazima. Fikiria mwaka 2011 au 2012 alikuwa na miaka 28 mpaka 35 mwaka huu atakuwa na miaka mingapi ?Inaonekana JF watu wanakuja na kupotea mno.
Duh Lady doctor wajina wangu , alikuwa ananipenda huyu dada
Huyo Alifariki [warumi]
Aisee nazani walikuwa wanasonya kimya kimya😀Wahanga🤣🤣🤣,
Kulichafuka.
Niliandika miaka 15 iliyopitaLeteni na link za mastori ya enzi hizo ma Gzee wajifunze.
Leteni na link za mastori ya enzi hizo ma Gzee wajifunze.
Huyu ana ban,
Hata ile gathering ilikuwepo sana ,😅
Enzi hizo watu walijiachia sana na mwanzoni hata true life stories zilikuwa nyingi sanaaaa...