Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Nakubali una ushauri wa kiutu uzima wenye experience tofauti tofauti

Nakupa ya kulalia hii doctor.

Enzi hizo nimejiunga jf basi sikuwa na hili wala lile . na nilijiunga humu baada ya kuajiriwa nikajikuta kila nikienda search engine naletwa huku.

nikafungua I'd mwenyewe nikawa napost humu nikapata mkaka humu yuko mzuri mwenyewe akawa ananisaidia mpka kazi. jambo likigoma ofisini mi naingia humu fasta ,,,, vihela vya kula dola 200/ 300 nikawa natumiwa western union.
bwana kaka akawa mchumba ni kunyegeshana pm na kupigiana live huko fb.
bwana kaka alikuja kunimwaga kisa nimetokea kwenye gazzeti la bang Ile page ya katikati pale akaona mi tapeli.
Mpaka leo yupo humu mara moja moja huwa tunakutana humu humu kwa melo.
 
Umeandika kimahaba
 
Naona ulisema sehemu ulikuwa wa mjini,,

Hivi tukisema yule dada ni wa mjini au jamaa hasa kwa miaka ya mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa 2000 ni tofauti na watoto wa sasa wanaojiona wa mjini ??
 
Back
Top Bottom