Benoit
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 754
- 1,696
Lile pdf lilisema alikuwa anakula vichwa kimya kimyaEwaaaaaaah🤣🤣🤣
Lile pdf lilisema alikuwa anakula vichwa kimya kimyaEwaaaaaaah🤣🤣🤣
Ewaaaaah umenena Ila sio kula kuku wa keiefusi na pizzahati 😅Sasa mi nikiwa kwenye huo mji naenda mitaa yangu. watu bado wapo na watoto wangu wana marafiki.
Nadhani mji umekuwa mkubwa tuendane na mabadiliko
Naomba namba zako au email pmHiyo joined 2026 isikuchanganye mkuu.
Ni nyoka alievua gamba, nipo toka jamii forum inaitwa jambo forum.
Lile pdf lilisema alikuwa anakula vichwa kimya kimya
HahahahahaNaomba namba zako au email pm
E
Lile pdf lilisema alikuwa anakula vichwa kimya kimyanaimiss jf hii🚶♀️🚶♀️![]()
Nipe link nikachekeView attachment 3633893hadi nimeenda kufukua🤣🤣🤣
Kilimpata nini ?Huyu lilimpata jambo😀
Naaaaam usiogope mkuuHahahahaha
Si unajua mambo ya selfika😀,aligongesha magari🚶♀️🚶♀️Kilimpata nini ?
Usikae kizembe kijana!😅Gen Z huyo, size yangu kabisa.
Selfika hiyo🤣Nipe link nikacheke
Na upole wote ule ?Si unajua mambo ya selfika😀,aligongesha magari🚶♀️🚶♀️
Wakina Dada tu Mkuu
Yawezekana yule jamaa ni muongo. Kwani mdada alithibitisha tuhuma zile?Selfika hiyo🤣