Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Mzee baba...

Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...

Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...

Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa...
Kuna wawili umewataja watu wangu wa maana sana shahidi Asprin
 
Ewaa japo umesahau kunitag😅😅
Evelyn Salt ladyfurahia Lady doctor Heaven on Earth lara 1 @khatwe miss chagga Miss Natafuta ...hapa kuna wa zamani sn na wa kati hapo niliwakuta wakati naingia jf😅
duh sijui km wapo hawa watu au wamebadirisha ID jmn
duh wengine nimesahau

Niliona uvivu kutag maana mpo wengi sana...

Kuna Gen 1 ya wadada sasa nahisi ni watu wazima kiasi, ile ambayo iliingia JF imekaa kisiasa siasa...2010 kurudi nyuma hadi JamboForum

Kuna Gen 2 ya wadada hii ni waanzilishi wa Chit chat na MMU, hii ndio mleta mada naona anaitafuta maana socialization ndani na nje ya JF ilikuwa kizazi hiki...2010 hadi 2015 hivi hapo...

Baada ya hapo, JF ikawa chama la wana...
 
Back
Top Bottom