BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,249
- 11,924
Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zil @maria
Maria Roza huyu nimemmiss mnooWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.