Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
For fun maybeKwa faida gani sasa
For fun maybeKwa faida gani sasa
Hisia zangu zikaniambia utakuwa tayari una mtoto.Kuna mambo nikiwaza naona ajabu sana
Eti kuwa na mtoto,eti na mimi nitakuja kuzaa,kuitwa mama hadi labda kupata wajukuu 😂😂
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi 📌📌Wewe si ulinikataa,na mimi nikakupotezea ila ipo siku utanikumbuka tu ila utakua umesha chelewa.
Aliyekuwa ana jezi ya Tanzania.Yule demu alisafiri kutoka mwanza kuja dar kumfata msela,na msela akampa buku saba mia nane🤣🤣🤣🤣🤣,alikuwa anaitwaje yuleee🚶♀️🚶♀️
hivi babu @ERoniI unajua kama ni mkubwa? hebu muulize mshamba_hachekwi akwambieKina wewe, watoto wa afmbili.😅
Achana na maneno ya wachungaji.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi 📌📌
Kuna sky eclat, Faiza fox waje hapaWanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.
Sikumbuki ID yake.Ndiyo🤣🤣🤣
Alikuwa anaitwa nani?
Wanawake wengi wa zamani ukitag ID zao haziji.Kila ninalo tag haliji au ndio hawa hawa wamevaa u Gen Z
Nani mkubwa, wewe? Kumbe taarifa zako zipo kwa Mshamba_hachekwi?😅hivi babu @ERoniI unajua kama ni mkubwa? hebu muulize mshamba_hachekwi akwambie
Yana ukweli,yazingatie📌Achana na maneno ya wachungaji.
Dah! Unanikumbusha mbali sana leo,huyu alinipenda sana ila sikuchukulia tu serious.