Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Dah! Since 2008. Enzi hizo hakuna smart phones. Tumeshuhudia changes kwa kweli. Enzi hizo kuingia JF lazima uwe na PC au laptop. Kwa sasa JF unayo kiganjani mwako.
Dah! Since 2008. Enzi hizo hakuna smart phones. Tumeshuhudia changes kwa kweli. Enzi hizo kuingia JF lazima uwe na PC au laptop. Kwa sasa JF unayo kiganjani mwako.
Pisi kaliJana na leo
Miss you too. Maisha yananipoteza tu jukwaaniMiss you alot aiseee
Mshangazi sema 😂Pisi kali
Siku hazigandi.Mshangazi sema 😂
Tunamshukuru Mungu kwa yoteSiku hazigandi.