Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hongera na pole kwa majukumu.

Kweli umri unakimbia nimeamini.
Maana hata mimi naona majukumu yanazidi kuongezeka kwangu.

Nilivyoona comment yako imebidi nitafute socks nivae😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha sana

Nkamu kwa hiyo uliacha kuvaa socks😂
 
Back
Top Bottom