Wewee kimemkuta nini mzee wa forexKm ni habari ya yeye kuwa jela ni kweli
Nipo ndugu asante kwa kunikumbuka
Umeadimika sanaNimekumbuka Yule Dj sijui alikuwa anamfanyia nani interview kwa English [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulivyokuwa tunaitana sasa
Umepotea sana humu, karibu tena jukwaaniNipo ndugu asante kwa kunikumbuka
Nipo ndugu yaaani tumetingwa mnooo na majukumu lkn alihamdulillah tu wazimaUmepotea sana humu, rudi tafadhali
Uzee huu tabu kweli.Nipo ndugu yaaani tumetingwa mnooo na majukumu lkn alihamdulillah tu wazima
Pole sanaUzee huu tabu kweli.
Mpenda ubuyu sasa😀😀😀Uzi umetembea huu, nahisi kulikua na mengi afu nimepitwaa.
Alooooh.
Nipo mara moja moja bullarKumbe hii pisi ipo active
Nipo kipenzi nimefurahi kukuona sanaUmeadimika sana
Nipo.
Mdogo wangu em ongea taratibu basiMmekumbuka vibibi vyenu [emoji81][emoji81]
Nyie tuna habari zenu mlikuwa mnagongana hovyo hovyo bila kificho..!!
Na hizo party zenu ni kugusa tu [emoji81]
Hiyo mali mpya naitoa wapi mimi?Wewee tenaa? Hunitakii mema siku hizi.
Kisa uko na mali mpya sokoni?? Haya bhana.
Nitakukamata tuu. 😂😂😂
Sisy Shunie 😹Mdogo wangu em ongea taratibu basi
[emoji23][emoji23]Sisy Shunie [emoji81]
Basi nimeacha mnisamehe..!!