Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Basi nyie ni wajanja na kichwani zimo, 2010 kurudi nyuma walikua wanajua kutumia Pc walikua wanahesabika
Mbona tumetumia sana enzi hizo biashara ya internet cafe ilikuwa inalipa balaa wengine Tulikuwa tuna kimbilia huko kwaajili ya kuingia online,

Mfano palikuwa na huduma ya mtandao wa Skype ndio mtandao pekee ulikuwa unatoa huduma ya kumpigia mtu Simu huku mnaonana kama PC Yako Ina camera wakati huo Whatsapp bado Ina jikongoja Facebook ndio kama insta ya Sasa , wenye Black berry wanatusumbua na mtandao wao wa BBM , watu tumetoka mbali sana 😄
 
Sikumbuki chochote!
Nimeanza kuielewa dunia na mitandao mwaka 2016 shule walikua wanasimuliana habari za zari na Diamond.
 
Basi wewe ni mdogo sana

Mitandao ya kijamii kabla haijashika Kasi Palikuwa na kitu kinaitwa blogspot, Huko ndio yalikuwa maeneo yetu ya kujidai na kupata habari zote za Mjini na za duniani, pia palikuwa na mitandao mingine like Yahoo, hi 5 , na mingine mingine mingi binafsi nilikuwa nipo kwenye mitandao tofauti hata 5 , lakini ilipokuja insta ndio ikatake over na kuifanya nguvu ya mitandao mingine kuisha

Mfano hao kina mange kimambi zamani walikuwa wana miliki blogspot palikuwa na mtu anaitwa issa michuzi pia alikuwa na blogspot yake , The guy was famous as blog owner back in the days , Palikuwa na blogspot pia za minyanduano 😄😄

Vurugu tz hazijaanza Leo
 
Duh hii hata mi nilikuwa siijui nimekuja kuisikia baadae wakati huo ista na Facebook ndo habari ya mjini...
Mange mwenyewe nimemfamia insta🤣
 
Wee wizo hivi mi hukunitengenezea cake???
Au umesahau au mi ndo nimesahau🤣
Umesahau,😊,Ile oda ya Nkamu aliyoilipia miaka nenda huko nyuma.
Ulinitafuta,Kulikuwa na hafla,,na ulikuwa Iringa.
Mimi kipindi hicho nilikuwa Mbeya.
Nikaona kutuma kwenye bus itakuwa ngumu,,Nikamuagiza baker wa Iringa akakutengenezea.
 
Back
Top Bottom