Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Basi nyie ni wajanja na kichwani zimo, 2010 kurudi nyuma walikua wanajua kutumia Pc walikua wanahesabika
Kwa Tanzania, matumizi ya PC yalikuwa common baada ya ujio wa internet cafè miaka ya 90 mwishoni kabla hata JF haijakuwepo...
Binafsi by then nilikuwa diaspora mashariki ya mbali, na nilikuwa na PC binafsi 2 (laptop na workstation), niliijua JamboForums sababu wakati huo nilikuwa naingia kusikiliza nyimbo za kibongo (kulikuwa na embedded player inapiga nyimbo hapa), lakini sikujiunga hadi 2010...