Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Si bora ningekua natumia smartphone...!Wafuate PM we naae.
Si bora ningekua natumia smartphone...!Wafuate PM we naae.
Sidhani kama itajirudia tena...Yaani sidhani kama zitakuja kurudi.
Sababu hao wanaovaa makoti mapya wakija wanakuja kivingine kabisa.
Nipo Swahiba...Hahahaha,kumbe upo Rafiki
Vzr kama upo Swahiba wangu kipenzi, ni mzima kabisaNipo Swahiba...
U hali gani?
2013 ulikuwa darasa la ngapi vile 😁😁Nafurahia sana kuwa Mkongwe na mimi.
Ila nawaheshimu wakongwe zaidi yangu.
Tayana-wog
Shunie
Heaven Sent
Khantwe
Mzigua90
cute b
mama D
Dejane
carbamazepine
Nyani Ngabu
Lizarazu
Davet wewe ulichonizidi tu ni kuzaliwa mjini kwenye computer ,mimi kijijini kwenye taa za chemli😂😂
Mshana Jr
andjul Anko Mkongwe Sana
RRONDO .
Nyie wa 2013 kurudi nyuma aisee
Heshima kwenu🙌
Ooh! Ahsante sana kwa kutupenda. 🥰Hamna🙏🙏🙏
Mimi nawapenda sana wote
Mtani mwenzangu katika Yanga
Yaani mi nakumbuka sisi tulishawahi kukutana members wanne kwa wakati mmoja.Sidhani kama itajirudia tena...
Nyakati zile tuliaminiana na kuwa huru sana...
Ila sasa hivi ni ngumu mno..
Kumbe na hao wengine nao pia ni wadada! nilikua najua ni wa kiume.Nafurahia sana kuwa Mkongwe na mimi.
Ila nawaheshimu wakongwe zaidi yangu.
Tayana-wog
Shunie
Heaven Sent
Khantwe
Mzigua90
cute b
mama D
Dejane
carbamazepine
Nyani Ngabu
Lizarazu
Davet wewe ulichonizidi tu ni kuzaliwa mjini kwenye computer ,mimi kijijini kwenye taa za chemli😂😂
Mshana Jr
andjul Anko Mkongwe Sana
RRONDO .
Nyie wa 2013 kurudi nyuma aisee
Heshima kwenu🙌
Kwahio mini ndio UNCLE MKONGWE SANA? 😎Nafurahia sana kuwa Mkongwe na mimi.
Ila nawaheshimu wakongwe zaidi yangu.
Tayana-wog
Shunie
Heaven Sent
Khantwe
Mzigua90
cute b
mama D
Dejane
carbamazepine
Nyani Ngabu
Lizarazu
Davet wewe ulichonizidi tu ni kuzaliwa mjini kwenye computer ,mimi kijijini kwenye taa za chemli😂😂
Mshana Jr
andjul Anko Mkongwe Sana
RRONDO .
Nyie wa 2013 kurudi nyuma aisee
Heshima kwenu🙌
Hii ndio naipenda Mimi, Kuna washikaji mpk Leo tunawasiliana na kuonana na tukiwa humu full respect,kama mtoa MADA huwa tunakaa sana vikaoYaani mi nakumbuka sisi tulishawahi kukutana members wanne kwa wakati mmoja.
Tulikula tukanywaa wee. Bila kuogopana hata na mpaka leo hatujawahi kukwazana na hatutegemei hata.
Tumekuwa Mwaswahiba forever.
Umeonaee.Hii ndio naipenda Mimi, Kuna washikaji mpk Leo tunawasiliana na kuonana na tukiwa humu full respect,kama mtoa MADA huwa tunakaa sana vikao
Ndugu yangu huyo tuna Maeneo ya kuonana Toka kitamboUmeonaee.
Na iwe hivyo hata Milele My Dada...Yaani mi nakumbuka sisi tulishawahi kukutana members wanne kwa wakati mmoja.
Tulikula tukanywaa wee. Bila kuogopana hata na mpaka leo hatujawahi kukwazana na hatutegemei hata.
Tumekuwa Mwaswahiba forever.
Saafi.Ndugu yangu huyo tuna Maeneo ya kuonana Toka kitambo
Hahahaha, nakutana na baadhi ya memba mara chache chache Kwenye vikao vileeSidhani kama itajirudia tena...
Nyakati zile tuliaminiana na kuwa huru sana...
Ila sasa hivi ni ngumu mno..
Mwezi wa 10 Kuna memba ana harusi , KaribuNa iwe hivyo hata Milele My Dada...
Mungu awasaidie tu...
Sasa hivi inakuwa ngumu sana hata kuwasiliana pasipo kuonana...ni changamoto..
Kuna ma legend tunaonana sana tuSaafi.
Amiin mdogo wangu.Na iwe hivyo hata Milele My Dada...
Mungu awasaidie tu...
Inahitaji umakini wa hali ya juu.Sasa hivi inakuwa ngumu sana hata kuwasiliana pasipo kuonana...ni changamoto..
Mie mnialike kama mchango nitowe.Mwezi wa 10 Kuna memba ana harusi , Karibu