Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Mue pia iliniuma sana maana tulikua na utani sana Nje ya JFYani huo msiba umeniuma , though nilikuwa simfahamu physically Valentina.
Mue pia iliniuma sana maana tulikua na utani sana Nje ya JFYani huo msiba umeniuma , though nilikuwa simfahamu physically Valentina.
2013Kumbe wewe wa 2012 siku zote nafikiri ni hawa Gen Z
Aha ha hh nipo mitaa hiyo lakini Leo nimebanwaaMwana JF aliyepo Block 41, tukutane Zebra pale,tuyajenge mchana huu,lunch time
Pole kwa kubanwa, siku nyingine nitakualika,Aha ha hh nipo mitaa hiyo lakini Leo nimebanwaa
😃😃Huyo wangari alikuwa shost kidizaini Hadi nje ya jf tulikuwa tunawasiliana lakini sikujua kumbe ndivo sivyo.
Ubinadamu kazi
Eeeh2013
Kipindi naigia nilikuwa kigoriiii😅😅
AfadhaliHata sikumbuki nini kilitokea kati yangu na Shadeeya
Ila unafanania na GenZ😅😅😅😅
Asante
OkHiyo ni trend mzee
"Msifokee nina mimba"
"Msinifokee nimetoka kuachwa"
"Msinifokee nina kichefuchefu" n.k
Wengine wapi?Kumbe na hao wengine nao pia ni wadada! nilikua najua ni wa kiume.
Hivi ndio mlikuwa mnatumia modem kwenye computer kuingia Jf,,😂😂😂😂2013 ulikuwa darasa la ngapi vile 😁😁
Kuna member umewatag hapo hua najua ni Wanaume.Wengine wapi?
Nimetag members wengiKuna member umewatag hapo hua najua ni Wanaume.
Mimi sijakwambia kua umeandika jinsia zao,nimekwambia kua hao uliowatag,wengine hua najua ni wanaume coz mada inataka kutaja wadada wa JF wa enzi zile,Nimetag members wengi
Na hakuna ambaye nimeandika jinsia yake
Hahahahah aaawaaapiiMdogo wangu mbona umenishutua.
Mi nikajua online kitambo. 😅