Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
KwemaAnko kwema?
Shkamoo Anko
KwemaAnko kwema?
Nimewataja wa kiume na wa kikeMimi sijakwambia kua umeandika jinsia zao,nimekwambia kua hao uliowatag,wengine hua najua ni wanaume coz mada inataka kutaja wadada wa JF wa enzi zile,
Usichoelewa nini hapo?
Pacha Niko kipenz daaah ahsante hata kunikumbuka nitakuwa napita home uko poa kabisaa,ur missed kipenz
Marahaba mama, habari ya siku nyingi?Kwema
Shkamoo Anko
HapanaMarahaba mama, habari ya siku nyingi?
Ulibadilisha king'amuzi? Haupo hewani
Hawa watu wa maana sana
Usijali Pacha.Pacha Niko kipenz daaah ahsante hata kunikumbuka nitakuwa napita home uko poa kabisaa,ur missed kipenz
Sana yaani Mtani.Hawa watu wa maana sana
Nilisahau kuwataja
Sik nyingine usisite kunitafuta kipenzUsijali Pacha.
Japo afadhali umeupoza moyo wangu Pacha. Nilikuwa nawaza na kuwazua hivi upo kweli.
Nilikuja huko nikawa natamani nikucheck ila mambo yakawa mengi. Sema mwezi wa 10 ntakuja tena Pacha.
Karibu sana Pacha.
Usijali my dear. Ahsante.Sik nyingine usisite kunitafuta kipenz
Sema mambo yamekuwa meng jaman acha tu nmefurah kukusikia tena
Uko sahihi kabisaaUsijali my dear. Ahsante.
Yaani kuna umri tukifika, inatokea tu mambo yanakuwa mengi.
Wanajamvi nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa JF,
Nimekuja hapa kuwajulia hali zenu hasa wadada wale wa enzi ile!
Mko hali gani kipindi hicho wadada wa moto? Hebu wa-tag waje hapa tuwakumbuke tujikumbushe enzi zile.
Mgeni anajua neno wakongwe🤣