Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Muendelee hivyo hivyo.Kuna ma legend tunaonana sana tu
Muendelee hivyo hivyo.Kuna ma legend tunaonana sana tu
Mchango km kawa , muhusika angejua namba yako angekuchekiMie mnialike kama mchango nitowe.
Jambo la kheri hilo.
Mimi nikiona una nidhamu humu, sioni shida kukukaribisha sehemu kupata lunch au gambe, ila Kuna baadhi nidhamu SifuriMuendelee hivyo hivyo.
Duuh! Ndo hivyo hana.Mchango km kawa , muhusika angejua namba yako angekucheki
Dah , sio mbayaDuuh! Ndo hivyo hana.
Hahahaaa. Hivyo sisi wengine hatuna nidhamu rafiki. 🤪Mimi nikiona una nidhamu humu, sioni shida kukukaribisha sehemu kupata lunch au gambe, ila Kuna baadhi nidhamu Sifuri
Hahahaha, RafikiHahahaaa. Hivyo sisi wengine hatuna nidhamu rafiki. 🤪
Nani huyo?Mwezi wa 10 Kuna memba ana harusi , Karibu
Hapa nitakua naharibu nikitaja ni naniNani huyo?
Ooooooh....sawa..Hapa nitakua naharibu nikitaja ni nani
Mdogo wangu akikujibu nitag.Nani huyo?
Mfano msiba wa Valentina tulichamga as group friends rambi rambi ,hope ulichangaDuuh! Ndo hivyo hana.
Hiyo najua pakumpa jibu, hahahahaMdogo wangu akikujibu nitag.
Unataka twende harusini Nini ?Ooooooh....sawa..
Hakuna shida Swahiba....
😂😂😂Ooooooh....sawa..
Hakuna shida Swahiba....
Hajaniambia My Dada...Mdogo wangu akikujibu nitag.
Yani huo msiba umeniuma , though nilikuwa simfahamu physically Valentina.Mfano msiba wa Valentina tulichamga as group friends rambi rambi ,hope ulichanga
Bro ongea, usikae na kitu kooni kitakukaba.....Ila wewe.....au basi
😅😅😅😅Nafurahia sana kuwa Mkongwe na mimi.
Ila nawaheshimu wakongwe zaidi yangu.
Tayana-wog
Shunie
Heaven Sent
Khantwe
Mzigua90
cute b
mama D
Dejane
carbamazepine
Nyani Ngabu
Lizarazu
Davet wewe ulichonizidi tu ni kuzaliwa mjini kwenye computer ,mimi kijijini kwenye taa za chemli😂😂
Mshana Jr
andjul Anko Mkongwe Sana
RRONDO .
Nyie wa 2013 kurudi nyuma aisee
Heshima kwenu🙌