carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nilikuwaga napenda kusoma nyuzi za Mtambuzi alipotea na yeye
Iceman 3D namtafuta mpaka leo duu
Iceman sijui alipoteleaga wapi aiseh
Nimemkumbuka
Nilikuwaga napenda kusoma nyuzi za Mtambuzi alipotea na yeye
Iceman 3D namtafuta mpaka leo duu
Kwakweli uzee unatunyemelea kwa mbalinipo mkuu tushakua millennia sahiv mitandaoni sio sana tu nalea tu sasa
Et niliambiwa alifariki na pokerIceman sijui alipoteleaga wapi aiseh
Nimemkumbuka
Umenikumbusha zile nyakati nzuri humu my Dada...
Mdogo wangu mbona umenishutua.Yah nlipotea kidogo ila kwasasa nipo My sister japo kasi imepungua sio kama zamani saizi kichwa kimejaa makorokoro ukiingia Jf unahakikisha thread umeisoma vizuri amasivyo GUDUBAI😄
Yaani sidhani kama zitakuja kurudi.Umenikumbusha zile nyakati nzuri humu my Dada...
Sasa hivi hii siyo ile JF yetu jamani..
Hakika Twinnie.Binadamu tuna mengi
Labda ni ID mpya
Labda kifo
Labda kupoteza access ya kuingia
Meeting live,watu mnakula Bata vzr tu , kulikua na Ile kila weekend tujakutana LEO TENA TUPO HAPA PUBHakuna kuogopana meetings live live
Hahahaha,kumbe upo RafikiUmenikumbusha zile nyakati nzuri humu my Dada...
Sasa hivi hii siyo ile JF yetu jamani..
Sijui kwa Sasa yupo wapiTunamuita Ajuza Kibibi FaizaFoxy
Hebu wafuate PM we naae.
Shadeeya amekuomba Msamaha.Vipi mdogo wangu unasemaje?
Uwiiii! Naona unataka kuugeuza huu ni mjadala. Lol.
Hamna🙏🙏🙏Uwiiii! Naona unataka kuugeuza huu ni mjadala. Lol.
😅😅