Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Watakuwa:-
- Walishazeeka
- Majukumu yameongezeka
- Maisha ya ujana yamewatupa
- Wamekata moto
- Wamepoteza vitendea kazi vya kuingia jf
- Wanaishi maisha halisi nje ya mtandao
- Madeni yamewavuruga
- Wamekuwa tegemezi baada ya kustaafu kazi
- Changamoto za kiafya n.k