Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Lol.ngoja nitulie nianze kupitia moja baada ya nyingine😊
Lol.ngoja nitulie nianze kupitia moja baada ya nyingine😊
Aaaaah, usiniambie😂Kasoro Mimi tu 😁😁
Kila wiki alikuwa anashuaha mastory yake...Noma sana huyo mtu Akili kubwa
Saa nyengine siku nzima mtu upo busy hata kuingia humu inakuwa mtihani.Kusifike huko😍
😅😅 usijali my dear. 🤝😅😅 najua kidogo sio saaana
Mfano mimi nilisahau Password ya ID yangu,ndio nikafungua hii,ila nikawaomba Mod's waiunganishe na hii baada ya kuwathibitishia kwa email niliyofungulia ID ya mwanzo,Hakika Mkuu uko sahihi sababu kiukweli kabisa Jf ina uraibu wake na hauishagi kirahisi.
Hahahaaa. Kumbe na wewe ulikuwa na wako. 🤪Dahh jolie she was my girl 😄😄
Yaani suddenly akapotea hewani alikuwa mnyama sana , last time alihamia njombe ,
Kumbe na wewe alikuwa Goma lako lol 🤣
mi wa juzi bwana khaa😅😅
Hahah ilikuwa ni kufuata trending tu za jfHahahaaa. Kumbe na wewe ulikuwa na wako. 🤪
Kumbe we bado katotomi wa juzi bwana khaa😅😅
Aisee majukumu,,Saa nyengine siku nzima mtu upo busy hata kuingia humu inakuwa mtihani.
Kuna kipindi alisema kahamia Dodoma.Sijui yupo wapi huyu mshikaji wangu, bonge la mshikaji aisee...
huku JF bado katoto ila nje ya Jf mimi ni mama wa watoto wanne na mke wa mume mmojaKumbe we bado katoto
Yaani sijui yuko wapi huyu Dada.Kila wiki alikuwa anashuaha mastory yake...
Kwanini hua mnapima umri wa mtu kwa kuangalia ame join lini JF?Kumbe we bado katoto