Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Eeewaaaa. Nakumbuka. 😂Good old days!! Zile interviews kuna namna zilikuwa zinatukutanisha wanaJF kwa namna nzuri sana mixer amsha amsha
Yule member aliyeanzishaga hizi vitu alikuwa anaitwa muosha rungu, baadae alibadili jina akajiita DJ SEPETU
Nilimfanyia interview nae 🤣
Habari za weekend wanaJF
Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu....
Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost
- Joanah
- Replies: 351
- Forum: JF Chit-Chats
Na alijua kulichangamsha jukwaa. Sijui ndo ana Id mpya sasa ama aliondoka tu Jf moja kwa moja.
Nimewakumbuka na wakaka wengine kina
Bonny
Daby
Davet
RRONDO japo huyu nimuombe msamaha hadharani nakumbuka miaka hiyo niliwahi kumkosea humu majukwaani akakasirika kimooja na ndo hata hataki kusahau mpaka leo. 😔
Nisamehe. 🤝