Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Yaani. Ukilala ukiamka kuna uzi huu.

Unakumbuka zile nyuzi wa za Interview. Yule member kanitoka jina. 😂😂

Yaani ikitokea jioni sijui zamu ya fulani basi mapema tuko online.

Good old days!! Zile interviews kuna namna zilikuwa zinatukutanisha wanaJF kwa namna nzuri sana mixer amsha amsha

Yule member aliyeanzishaga hizi vitu alikuwa anaitwa muosha rungu, baadae alibadili jina akajiita DJ SEPETU

Nilimfanyia interview nae 🤣

 
Mimi kipindi najiunga 2014 kulikuwa na wadada wa dada hao ndo walikuwa si mchezo.

Karucee
Husninyo
Madame B
Heaven Sent
Evelyn Salt

Ilipofika 2017 ikawa zamu yetu sasa

Cc.
ukhuty
Joanah
Sakayo
Shunie

Tulikuwa walevi wa Jf hasaaa. Yaani mpaka kupika saa ingine tulikuwa tunapika huku tumeshika simu tusipitwe na ya Jf. Lol. 😂

Sasa hivi umri ushaenda tena mambo yamekuwa mengi tunaonekana kwa nadra.
Yeah Jf was so amazing Kila mwisho wa mwaka palikuwa na Jf party

Jf huu mtandao ulikuwa amazing sana Kwa kweli
 
Back
Top Bottom