Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Eeewaaaa. Nakumbuka. 😂

Na alijua kulichangamsha jukwaa. Sijui ndo ana Id mpya sasa ama aliondoka tu Jf moja kwa moja.

Nimewakumbuka na wakaka wengine kina
Bonny
Daby
Davet
RRONDO japo huyu nimuombe msamaha hadharani nakumbuka miaka hiyo niliwahi kumkosea humu majukwaani akakasirika kimooja na ndo hata hataki kusahau mpaka leo. 😔

Nisamehe. 🤝
RRONDO
Yaliyopita si ndwele
 
Back
Top Bottom