Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,864
- 3,416
Yah nlipotea kidogo ila kwasasa nipo My sister japo kasi imepungua sio kama zamani saizi kichwa kimejaa makorokoro ukiingia Jf unahakikisha thread umeisoma vizuri amasivyo GUDUBAI😄Nakumbuka alikuwepo huyu mdogo wangu Bacyclerbacy na wengine nimewasahau sijui wako wapi sasa.