Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,907
Mungu ni mwema aisee, tupo tunaendelea kupambana....hekaheka za dunia ni nyingi boss ndo maanaHow've u been, long time no see ladyboss...
Mungu ni mwema aisee, tupo tunaendelea kupambana....hekaheka za dunia ni nyingi boss ndo maanaHow've u been, long time no see ladyboss...
Kwa hiyo kamati yenu ya wachawi inasemaje?Unabahatisha tu ila bado
😅😅😅
Kaishatagiwa
Lara 1. RIP.
Nioneshe niliposema nina mimbaKuna siku ulisema unamimba hujajifungua tu mkuu 😅😅
Kwakweli upo sahihiNiliona uvivu kutag maana mpo wengi sana...
Kuna Gen 1 ya wadada sasa nahisi ni watu wazima kiasi, ile ambayo iliingia JF imekaa kisiasa siasa...2010 kurudi nyuma hadi JamboForum
Kuna Gen 2 ya wadada hii ni waanzilishi wa Chit chat na MMU, hii ndio mleta mada naona anaitafuta maana socialization ndani na nje ya JF ilikuwa kizazi hiki...2010 hadi 2015 hivi hapo...
Baada ya hapo, JF ikawa chama la wana...
Muongo lara1 yupo mzima wa afyaAre you serious mkuu??
Hata wewe ni mkongwe mamiiUngespecify enzi zipi? Ama sample ya kutag mmoja wa "enzi zile"
Ndio utulivu unahitajika .....Aisee kunawatu wamejiunga jf nipo primary dah😀
Gusa uislamu na wazinzibar utajitokeza TU. Labda kana Mungu hajamjaalia afya na uhai. Tuombe Mungu awe tu mzima majukumu yawe yamemtinga. TUNACHARUANA mwisho sote ni binadamu.tupendaneAlafu amepotea hivi karibuni!
Kwamba mpaka Sasa mayai Yako unakaangia chips hata mmoja we Mama... Usije kuzaa mtoto akakuita bibiKuna mambo nikiwaza naona ajabu sana
Eti kuwa na mtoto,eti na mimi nitakuja kuzaa,kuitwa mama hadi labda kupata wajukuu 😂😂
Tunamuita Ajuza Kibibi FaizaFoxyYule mama alikuwa anatukosoa tukiandika vibaya utasikia huko chuo mlienda kusomea ujinga ,sema nimesahau jina
Huyo wangari alikuwa shost kidizaini Hadi nje ya jf tulikuwa tunawasiliana lakini sikujua kumbe ndivo sivyo.Demis na wangari hawa kuna namna wapo ki gen z😃
Huyu alikuwa balaa ya mabalaa, yuko wapi Huyu Dada?WomanOfSubstance uko wapi Mama la Mama?
Majukumu ya kifamilia nadhani kwa sasa umri wake kama wakina Halima Mdee , John Mnyika au Zitto KabweHuyu alikuwa balaa ya mabalaa, yuko wapi Huyu Dada?
Wewe si ukibadili id , nilikua naipenda sana ile.Ewaa japo umesahau kunitag😅😅
Evelyn Salt ladyfurahia Lady doctor Heaven on Earth lara 1 @khatwe miss chagga Miss Natafuta ...hapa kuna wa zamani sn na wa kati hapo niliwakuta wakati naingia jf😅
duh sijui km wapo hawa watu au wamebadirisha ID jmn
duh wengine nimesahau