Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Na upole wote ule ?
Screenshot_20260720-224332.png
 
Mzee baba...

Wachuchu wa enzi zako washakuwa wamama sasa na wengine wana wajukuu sasa hata JF hawagusi kivileeee...

Sasa hivi huwezi kuwapata tena hapa kina Kaunga, Kongosho, Afrodenzi, Cacico. Gfsonwin, Zinduna, Preety, kisukari, Fixed Point, The Secretary...

Lakini utapata kina Preta Chocs Madame B Miss Neddy BelindaJacob marejesho wapo mjengoni hadi sasa...
Sky eclat bado anatamba
 
Back
Top Bottom